Kaandika vizuri lakini asilimia uliyompa ni kama sifuri!Upo sahihi kwa asilimia 9.9999999999999999999999999999999999999999999999999999% Bila shaka mwanamke anahitaji redirection kila wakati. Isifike mahali akawa ndio kichwa cha familia. Familia na ndoa kwa ujumla Itayumba kama mianzi kwenye upepo mkali. Big up kamanda shikilia uskani vyema barabara yetu inahitaji dereva asiyeyumbishwa na abiria
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimek
nimekuona..fanya kunitolea sadaka huko huko[emoji28][emoji28] nitakulipa..mie sina chenji[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wastani wa uchumba wa mda gani mkuu? Kumbuka kuna urafiki na baadae uchumba. Now tell me...Epuka ndoa za uchumba wa miezi 5 hazidumu
Jr[emoji769]
Nina miaka tisa sasa urafiki na uchumbaWastani wa uchumba wa mda gani mkuu? Kumbuka kuna urafiki na baadae uchumba. Now tell me...
Damn you!! Miaka mitatu natafuta almasi au tanzanite!? 1yr ya urafiki, 6months ya uchumba hadi ndoa... 1.5yrs inatosha sanaIsipungue miaka 3, kuanzia kufahamiana
Jr[emoji769]
Vunja huo uchumba sugu, mnachukua degree ya medicine + specialization?Nina miaka tisa sasa urafiki na uchumba
Trust me it takes that much time to know at least half of the whole sickness.... Ni baada ya hapo utaamua uingie ama utoke..Damn you!! Miaka mitatu natafuta almasi au tanzanite!? 1yr ya urafiki, 6months ya uchumba hadi ndoa... 1.5yrs inatosha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka balaa, mlipangwa kama nyanya. Shukuru Mungu hukuachiwa maradhi. Binafsi sikuwahi kufikiria kwenda zaidi ya 2yrs na ndio nilichofanya.Trust me it takes that much time to know at least half of the whole sickness.... Ni baada ya hapo utaamua uingie ama utoke..
Ni katika hicho kipindi utagundua mengi ambayo hajakusimulia binafsi
Ujanani kabla sijaoa nikiwa kwenye harakati za kutafuta mwenza.... Nikaingia chaka ambalo sitakaa nilisahau... Kuna wanawake ni malaya duniani lakini yule ilikuwa zaidi ya umalaya
Mwanamke kuzunguka kwa wanaume watano ndani ya saa 6 ni rekodi ya kipekee mno... Mimi nikiwa no 5 kuna no 6 ilikuwa inasubiri... Nilipiga karibia kuua
Jr[emoji769]
Trust me it takes that much time to know at least half of the whole sickness.... Ni baada ya hapo utaamua uingie ama utoke..
Ni katika hicho kipindi utagundua mengi ambayo hajakusimulia binafsi
Ujanani kabla sijaoa nikiwa kwenye harakati za kutafuta mwenza.... Nikaingia chaka ambalo sitakaa nilisahau... Kuna wanawake ni malaya duniani lakini yule ilikuwa zaidi ya umalaya
Mwanamke kuzunguka kwa wanaume watano ndani ya saa 6 ni rekodi ya kipekee mno... Mimi nikiwa no 5 kuna no 6 ilikuwa inasubiri... Nilipiga karibia kuua
Jr[emoji769]
Hahaha hahahaVunja huo uchumba sugu, mnachukua degree ya medicine + specialization?
Huo uchumba siutaki, haki kajamaa kanakuchosha tu hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hahaha
Yaani mecheka saaaana jamanii Eli wanguu
Tunachoshana bwanaa....Huo uchumba siutaki, haki kajamaa kanakuchosha tu hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka balaa, mlipangwa kama nyanya. Shukuru Mungu hukuachiwa maradhi. Binafsi sikuwahi kufikiria kwenda zaidi ya 2yrs na ndio nilichofanya.
Kilichoniumiza zaidi ni zile msg za kuwasifia kila mmoja na ujuzi wake... Sifa kwa mpemba wa Kawe ndio zilinihamashisha niuwe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka.hapo kwenye rekodi ya kipekee mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....aisee..
Ulikuwa unapekua nini eti kwenye simu yake?!Kilichoniumiza zaidi ni zile msg za kuwasifia kila mmoja na ujuzi wake... Sifa kwa mpemba wa Kawe ndio zilinihamashisha niuwe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jr[emoji769]
Hahahaha, nimeelewa mkuu. Sifa za "mpemba wa kawe" hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]Kilichoniumiza zaidi ni zile msg za kuwasifia kila mmoja na ujuzi wake... Sifa kwa mpemba wa Kawe ndio zilinihamashisha niuwe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jr[emoji769]
Mie sijaelewa wala. Naomba unieleweshe hebuHahahaha, nimeelewa mkuu. Sifa za "mpemba wa kawe" hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]