Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Upo sahihi kwa asilimia 9.9999999999999999999999999999999999999999999999999999% Bila shaka mwanamke anahitaji redirection kila wakati. Isifike mahali akawa ndio kichwa cha familia. Familia na ndoa kwa ujumla Itayumba kama mianzi kwenye upepo mkali. Big up kamanda shikilia uskani vyema barabara yetu inahitaji dereva asiyeyumbishwa na abiria
Kaandika vizuri lakini asilimia uliyompa ni kama sifuri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Damn you!! Miaka mitatu natafuta almasi au tanzanite!? 1yr ya urafiki, 6months ya uchumba hadi ndoa... 1.5yrs inatosha sana
Trust me it takes that much time to know at least half of the whole sickness.... Ni baada ya hapo utaamua uingie ama utoke..
Ni katika hicho kipindi utagundua mengi ambayo hajakusimulia binafsi
Ujanani kabla sijaoa nikiwa kwenye harakati za kutafuta mwenza.... Nikaingia chaka ambalo sitakaa nilisahau... Kuna wanawake ni malaya duniani lakini yule ilikuwa zaidi ya umalaya
Mwanamke kuzunguka kwa wanaume watano ndani ya saa 6 ni rekodi ya kipekee mno... Mimi nikiwa no 5 kuna no 6 ilikuwa inasubiri... Nilipiga karibia kuua

Jr[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka balaa, mlipangwa kama nyanya. Shukuru Mungu hukuachiwa maradhi. Binafsi sikuwahi kufikiria kwenda zaidi ya 2yrs na ndio nilichofanya.
 
😂😂😂😂😂😂 nimecheka.hapo kwenye rekodi ya kipekee mno😂😂😂😂....aisee..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka balaa, mlipangwa kama nyanya. Shukuru Mungu hukuachiwa maradhi. Binafsi sikuwahi kufikiria kwenda zaidi ya 2yrs na ndio nilichofanya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka.hapo kwenye rekodi ya kipekee mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....aisee..
Kilichoniumiza zaidi ni zile msg za kuwasifia kila mmoja na ujuzi wake... Sifa kwa mpemba wa Kawe ndio zilinihamashisha niuwe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Ulikuwa unapekua nini eti kwenye simu yake?!
 
Kilichoniumiza zaidi ni zile msg za kuwasifia kila mmoja na ujuzi wake... Sifa kwa mpemba wa Kawe ndio zilinihamashisha niuwe[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Jr[emoji769]
Hahahaha, nimeelewa mkuu. Sifa za "mpemba wa kawe" hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom