bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,146
Kaandika vizuri lakini asilimia uliyompa ni kama sifuri!Upo sahihi kwa asilimia 9.9999999999999999999999999999999999999999999999999999% Bila shaka mwanamke anahitaji redirection kila wakati. Isifike mahali akawa ndio kichwa cha familia. Familia na ndoa kwa ujumla Itayumba kama mianzi kwenye upepo mkali. Big up kamanda shikilia uskani vyema barabara yetu inahitaji dereva asiyeyumbishwa na abiria
Sent using Jamii Forums mobile app