Mada maalum kwa wanandoa

Mkuu hizi ndoa zetu za kidijitali ni maumivu tupu. Vjana ambao bado hamjaoa msikilubali kuingia kwenye kifungo hiki cha maisha. Kula maisha kwanza, msijitie nira ya ndoa itawazeesha kabla ya umri wa uzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa una zeheka bado kijana ikiwa kama ume mpata mke muovu ila ukiwa umempata mke mwema unazidi kutanua tu kwa kunawiri
hadi jami inashanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simu yake "unayoijua" Ndio yako... [emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mke mwema chini ya ardhi; wake wote ni mashetwani wa kutupwa!
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
kwa sababu we ni mwanaume mwenye hofu ya Mungu
Wanaume ndo waharibifu zaidi kwenye ndoa,,pombe,cheating nk ambavo vinamfanya mke nae aanze kuleta shida

 
kwa sababu we ni mwanaume mwenye hofu ya Mungu
Wanaume ndo waharibifu zaidi kwenye ndoa,,pombe,cheating nk ambavo vinamfanya mke nae aanze kuleta shida
Kwa dunia ya sasa ilivyo huwezi kusingizia jinsi moja2 kuwa inamatatizo matatizo ya ndoa kwa jamii za saivi wote kwa pamoja wanachangi na SIM ndyo chanzo kikubwa omba Mungu upate mtu mtakaye kuwa mnasikilizana na kuelewana lakini matatizo ya ndoa yapo na hayawezi kuisha na jifunze kujua nature ya wanaume na kumjua mtu wako kabla ya kuingia ndani ya ndoa haitakusumbua badaye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
halafu hii ndo ina work kwa wanauame na wanawake, yaani mimi sinaga muda wa kujua mtu kanuna kwa sababu gani, atajiongelesha mwenyewe tu hasira zake zikiisha , kitu kingine ni uhuru wa kuwa na pesa yako, yaani raha saaaaaaana, hakuna cha ugomvi wa sijui hujaacha hela ya matumizi. anashangaa tu kila siku mmekula, umejinunulia nguo unayopenda umewanunulia watoto, nywele unasuka unazotaka , house girl umemplipa,kanisani unatoa zaka unavyotakana michango mingie bila kumuomba omba na maendeleo yanaendelea .

Hakuna ugomvi
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 

unahisi anaishi na wewe kwa sababu ya nini labda, unahisi bila ya wewe hawezi ishi, mbona unamdhalilisha hapa, for ur information mwanamke akishaanza kukujibu ovyo jua anaweza kuishi bila wewe muda wowote ule
 
tatizo kuu katika ndoa ni ubinafsi tuu.........mkiweza kuwa marafiki........marafiki wa kweli....mnao doo kwa mahaba........mnaosaidiana..........marafiki wa kweli mnaheshimiana.......mnapenda kiukweli......mtafika mbali.......ili mkianza kufichana tuu......hamfiki mbali....kuu na la pekeee.......muwe friends (mke/mume).....urafiki wendu ndio utadumisha ndoa yenu....nina uzoefu mkubwa sana.....
 
msipokuwa marafiki ni bure tuu....wako wanaoenda pamoja kanisani wakifuatana kama kumbikumbi but wakirudi home kila mtu na chumba chake....suala sio hofu ya Mungu bali ni urafiki wa kweli pekee ndio utavukisha wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…