ibby
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 415
- 585
Ndoa una zeheka bado kijana ikiwa kama ume mpata mke muovu ila ukiwa umempata mke mwema unazidi kutanua tu kwa kunawiriMkuu hizi ndoa zetu za kidijitali ni maumivu tupu. Vjana ambao bado hamjaoa msikilubali kuingia kwenye kifungo hiki cha maisha. Kula maisha kwanza, msijitie nira ya ndoa itawazeesha kabla ya umri wa uzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
hadi jami inashanga
Sent using Jamii Forums mobile app