Mada maalum kwa wanandoa

Ana miaka 24 mpaka sasa

Nimpeleke elimu ya watu wazima wakati nishaachana nae...!

Yupo kwao, sa hv naangalia watoto tu,

Na wala sina mpango wa kuongeza mtoto kwa sasa
 
Bora umeachana na ilo jjini aise hata mm ikitokea naliachilia mbali mkuu
 
Mkuu mwenyewe sio kama nimependa, hapana ila nimelazimika kuachana nae

Na hapo mdo nimemvumilia tangu akiwa mjamzito, awali nilisema pengine ujauzito ngoja nisubiri ajifungue
Baada ya kujifungua ndo ikawa balaa
Pole Sana.
Ulikosea kuoa aisee
 
Pole sana, tatizo angekwambia usioe lakini wewe ukawa unampenda, mie kuna ndugu yangu nilimwambia huyo utamweza kweli? Jibu lake mbona wewe umeolewa na hakuna aliyekupangia? Nikafunga domo langu, sahizi cha moto anakipata kuniambia anashindwa mie yangu macho
 
Ana miaka 24 mpaka sasa

Nimpeleke elimu ya watu wazima wakati nishaachana nae...!

Yupo kwao, sa hv naangalia watoto tu,

Na wala sina mpango wa kuongeza mtoto kwa sasa
Duu mlichumbiana wadogo sana
 
Ana miaka 24 mpaka sasa

Nimpeleke elimu ya watu wazima wakati nishaachana nae...!

Yupo kwao, sa hv naangalia watoto tu,

Na wala sina mpango wa kuongeza mtoto kwa sasa
Duh ulimuoa akiwa bado mdogo
 
Lizarazu
 
Miaka 19 naona Ni mdogo.
Uchumba ulikaa nae kwa Muda gani?
Miaka minne, ndoa nimefunga nae mwaka jana mwezi wa kumi na moja

Na kipindi hicho chote cha uchumba alikua akiishi kwao, kwangu kaja mwaka jana tarehe mbili mwezi wa tano na akafikia kwa wifi yake ( Dada yangu ) sikutaka afikie kwangu kwa sababu za kiimani na marafiki nilionao na wanaonifahamu ni watu wenye heshima zao hivyo kuishi nae kama mke bila ndoa nisingeeleweka
 
Duh..
Aisee kumbe umemuoa akiwa na 23.
Basi anafanya makusudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…