Mada maalum kwa wanandoa

Mliooa mnakwama wapi? maana kila baharia nayemkuta na mchepuko bar,nikimuuliza kwa nini anachepuka utasikia ooo!!! mke wangu mjamzito,ooo!!mke wangu amejifungua,ooo!! mara mke wangu yupo siku zake mwezini,ooo!! mara mke wangu ana kelele sana, nyumbani hapakaliki,utasikia mara ooo!! mke wangu ameenza kuzeeka ili siwezi kumwacha sababu nimetoka nae mbali, mabaharia mnafeli wapi????? mabaharia nini kinawashinda kwenye ndoa???
 
kwa upande wangu naona ndoa ni uvumilivu, na kikweli ili muweze kudumu lazima mmoja ajishushe, ila mkiwa wote juu lazima hamta dumu na ndoa itashambaratika, kuna kipindi inatokea mnakuwa na migogoro, mnalala kitanda kimoja ila hata salamu akuna hichi nikipindi kibaya sana.
 
Uzuri ni kwamba siku hazigandi... Na siku hazifanani
 
Yan hakuna sekta ngum km ndoa...!!sema reason kuu naamini ni uvumiliv kukosekana...ndoa n uvumiliv

Kingne mwanamke anaolewa na juma wakat moyoni kuna rama!!.....yan ingkuwa mtu uloanza nae ndo unaoana nae ndoa ingkuwa tam saana

Ila unaoana na mtu mwenye network kibao lazma ulie...!!ukizima umeme mwenzio anawasha jenereta
 

Aahahahahaaaa nimecheka hiyo, ukizima umeme mwenzio anawasha generator and the chain is going, ukizima generator au mafuta yakiisha anawasha tochi ya mchina betri ikiisha karabai au mshumaa ukiisha simu ya kitochi laaah......

Pongezi kubwa sana kwa kwenye ndoa zao.
 
hivi mambo ya out yana umuhimu sana kwenye maisha ya ndoa??
 
vipi pesa haina heshima?!
 
Mkuu nimeshindwa niongeze nini, umesema ukweli mtupu, japo mimi nina mwaka na nusu kwenye ndoa lakini kama napata nafasi ya kurudisha past basi nisingeoa


Sent from my iPhone using JamiiForums
ayaaa!!! kwa nini??
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yani mtoa mada,kama ulikuwepo vile,ndoa sio lelemama.
Ila naona wanaume kwenye ndoa ndo waharibifu kuliko sisi wanawake,,hawachukulii kwa uzito hata ukiongea vipi ,anakaa siku mbili tatu kero iko palepale,
kero gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…