Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhambi zote ni nje ya mwili, ila uzinzi ni ndani ya mwili wako mwenyeweDhambi zote ni sawa mbelw za Mungu, hata ukisema uongo kuwa upo kariakoo wakati uko Mwenge ni dhambi tayari.
kwa upande wangu naona ndoa ni uvumilivu, na kikweli ili muweze kudumu lazima mmoja ajishushe, ila mkiwa wote juu lazima hamta dumu na ndoa itashambaratika, kuna kipindi inatokea mnakuwa na migogoro, mnalala kitanda kimoja ila hata salamu akuna hichi nikipindi kibaya sana.
Dhambi zote ni nje ya mwili, ila uzinzi ni ndani ya mwili wako mwenyewe
Yan hakuna sekta ngum km ndoa...!!sema reason kuu naamini ni uvumiliv kukosekana...ndoa n uvumiliv
Kingne mwanamke anaolewa na juma wakat moyoni kuna rama!!.....yan ingkuwa mtu uloanza nae ndo unaoana nae ndoa ingkuwa tam saana
Ila unaoana na mtu mwenye network kibao lazma ulie...!!ukizima umeme mwenzio anawasha jenereta
aisee,unatushauri nini mabachelaNipo ndani ya ndoa kwa miaka 16 sasa. 80% ya maisha ndani ya ndoa sijawahi kuwa na furaha.
Nilichogundua. Kuoa ni kuamua kumiliki mtu. Tena mwenye akili zake. Ni shida kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi mambo ya out yana umuhimu sana kwenye maisha ya ndoa??Nadhani kwenye ndoa mkiwa mnatoana 'out' inapunguza mambo mengi sana,sasa unakuta bi. mkubwa alipokuwa binti 'out' zilikuwa nyingi,ameanza kuchuja (mtoto 1,2,3 n.k) hakuna 'out' hapo lazima utengeneze bomu tu.Jamani tuende nao 'out' ata kama wamezeeka,itasaidia sana.
vipi pesa haina heshima?!Kwenye ndoa kuna mambo mengi sana.
Kuna wakati mkeo anakuwa rafiki yako.
Wakati mwingine anakuwa adui yako.
Wakati mwingine anakuwa boss wako vice versa is also true.
Wakati mwingine mume unakuwa polisi na mke mfungwa vice versa is also true
Wakati mwingine chumbani kunageuka ulingo wa masumbwi na watoto washangiliaji
Wakati mwingine mnakuwa majirani kila mtu hajui kinachoendelea kwa jirani yake
Wakati mwingine mnakuwa mtu mmoja indivisible being
Wakati mwingine mmoja anakuwa Mtoto na mwingine ni mzazi.
Na haya ndiyo huwa maisha yetu ya kila siku ndoani.
Asikwambie mtu hakuna Kitu kinachoongeza heshima na hadhi ya mtu kama ndoa.
Onyo. Usiulizie matumizi ya hela za mkeo jifanye huoni yanayoendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
ayaaa!!! kwa nini??Mkuu nimeshindwa niongeze nini, umesema ukweli mtupu, japo mimi nina mwaka na nusu kwenye ndoa lakini kama napata nafasi ya kurudisha past basi nisingeoa
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ndoa husaidia mtu kuzeeka haraka. Kabla sijaoa age mates wangu waliokuwa wameoa niliona wameanza kuzeeka haraka na kuwa na sura zenye mikunjo na uso uliopoteza nuru na furaha, sikuelewa kwanini walikuwa vile, ila baada ya kuoa nahisi hata mimi sasa nimeanza kufanana nao japo siwezi kujiona. Kuoa ni sawa na kuji register to your final destination.
Sent from my iPhone using JamiiForums
kero gani??Yani mtoa mada,kama ulikuwepo vile,ndoa sio lelemama.
Ila naona wanaume kwenye ndoa ndo waharibifu kuliko sisi wanawake,,hawachukulii kwa uzito hata ukiongea vipi ,anakaa siku mbili tatu kero iko palepale,