Mada maalum kwa wanandoa

Wakistaafu ndipo akili huwasogea maana wake nao huchukua usukani na watoto
 
Mi sijui ni asili yangu!
Naamini katika mfumo dume tu.
Hawa watetezi wa haki sawa ningekuwa na uwezo sio wawe na ofisi tu, hata kuonekana Tanzania ni kosa lingekuwa kwao. Namshukuru Mungu wala sijivuni kwangu mi mfalme flani hivi. Kumpa mke wangu nafasi sijui taanzaje, au anune tu ndani bila sababu haaaaaa! Bahati nzuri hata ukweni wanakubali yule Bw. ni mtata.
Kosa kubwa kwa sasa ni hali inayoonyeshwa wakati wa uchumba(fake), wanandoa wakisha halalishwa ndipo tabia halisi hujiweka wazi kwa wote(wanawake hasa) Lakini pia kupenda kupita kiasi husabisha kutokuonyana wanandoa (mume wajibika)
Ni kosa matatizo yenu yavuke chumbani( wanawake hawana dogo yashafika kwao)
Ushauri tu makofi mara 1 kwa miezi 2 nayo ni dawa, ili mke ajue kujishusha ni lazima kwake.
 
Na kipindi hicho ndicho kusalitiana huwa ni rahisi sana
 
Kwani wanaume huwa hawana walio wapenda lakini hawakuwaoa?
 
Kwanza nikupe hongera na pongezi nyingi kwa uvumilivu muda wote huo!
Mi huwa ni mwepesi mno kuvua mkanda!
 
Na siku apate tatizo yeye halafu mke azembee kidogo utasikia limwanamke lina roho mbaya linataka nife wakati yeye hajawahi timiza wajibu wake, zamani walikuwa na mafundisho mazuri ya ndoa, siku hizi watu wanajifundishia kwenye laptops
 
Hapana mkuu,mwanamke akiwa sahihi kwako na akakupenda kweli hakika ukimuonyesha upendo ndo utafurahi zaidi maana atakuona kama nuhu kwake
Tatizo lipo hivi unaweza kuta mke hana shida yeyote ila sasa muoaji hasomeki mambo huanzia hapo, wanawake huvumilia madhira mengi kuliko wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…