Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Una moyo mama. Sasa ukijihudumia kwa kila kitu ye anamhudumia nani wakat huo???Kukaa kando ni kutolalkutolalamika tena najihudumia kwa kila kitu!easy maa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una moyo mama. Sasa ukijihudumia kwa kila kitu ye anamhudumia nani wakat huo???Kukaa kando ni kutolalkutolalamika tena najihudumia kwa kila kitu!easy maa!
Mimi!..am ok with tht!ss unafanyaje? Kila sehem ni vizingiti tu!huna msaadaUna moyo mama. Sasa ukijihudumia kwa kila kitu ye anamhudumia nani wakat huo???
You are a strong woman mama. Congrats.Mimi!..am ok with tht!ss unafanyaje? Kila sehem ni vizingiti tu!huna msaada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan siku fqmilia yangu wakisikia nimerudi[emoji848]...wamechukia ww kuliko mm nilivyochukia..dingi alisema wakikuzengua mahakaman weka mwanasheria[emoji23][emoji23]ht kesi yenyew haikifika mahakamn...nimeficha sijawaambia kuwa tumeishia kwa mpelrlzi tu...!yaan kifupi wanajua mm ndo sirudi tena..naogopa ht kuona simu zao...hv wanataka nirudi nyumban nijipange upyaaa...naogopa kuwapa mrejesho..hapa laana nainusa kwao[emoji107][emoji22][emoji22][emoji22]..!huyu wangu hawez badilika ndo tabia yake tu yaan...yaan akiona sehem napata kahela anaenda kulianzisha[emoji23][emoji23]alafu hapo hapo anakuambia nikope bas ht laki 1[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji107][emoji107][emoji107]..babu ww ninechoka...nataka nijioe mwenyew nijitunze mwenyewe...mie nimeoa sijaolewa...nimejichokea..
Sasa hapo si umejioa???unadhan nimeanza kuwaambi muda bas yalinifikia hapa..mwaka 2017 ndo nikaanza waambia...wakawa hawaamini kbs..mwaka huo huo wakamwita akakiri atabadilika..hajabadilika..ukiwapelekea kesi kwao hakuna ht kumwita..wapo tu..sijakosea shunie...maisha yangu ww ht ww usingeweza kuishi na huyu..ht mamangu mzaz asingeweza kbs..ni mtu ambay hajali kbs...yaan walaaa...anajua huyu amejitosheleza..yaam sijui nikuambiaje..yaan yule ht utokee msiba hajigusi kuchanga..yupo tu yaan mshahara wake haurlewk unaenda wap...ht niugue vip walaa...anakuangalia tu[emoji23][emoji23]...yaan mm nisipochakarika ndo nyumba inakosa dirwction...yaan ni yule wa kuamka na kuoga na kuondoka..ada tunashea..i meana na mm alisema nisomeshe m1[emoji23][emoji23]mshahara wake yy naingia mm mara 6..hajui manengelo ni wife ana mahtj yake...hajigusi kwa lolote lile..yaan zezeta hafiki kwake..yy ni pombr tu..hana ht mawazo ya kutagta kabiashara mwenzako...
mm nikifungua kabiashara atakupa bigup kibao..akianza kuona kanasimama anaanza choko choko...akutafute tu akakufungie..juzi kaulizwa eti mkeo anachosrma hujawah mpa ht laki 1 ni kweli?akasema huo ni udhaifu wangu..nitajitekebisha..yaan ni yy na wanae tu...ss iba simu yake uone mpesa kqa mamake huko ..mara laki 5..tena anakiambia kns mama amenionbq laki 5 dah..sina..anakiambia nitagtie mkopo..yaan yuko radhi ampe mamake laki 5 za kukopa shoga...amejaa maden tu..namanisha madeni...ss mm wakaz gan huyo?mbinafs kufa...ni ndoa ya kutegeana..akiona luku imekata anakuambia nunua nitakirefund end of month yaan yy kila kitu anakuanbai fanya nitakulipa mshahara ukitoka..!jaman si bora nikakaa alone...?inafikia kipindi unakosa kns hisia naye..yaan unajiuliza maswali hayana majibu
Na mkeo akirudi jioni chupi imeloa akapitiliza bafuni usiulizeKwenye ndoa kuna mambo mengi sana.
Kuna wakati mkeo anakuwa rafiki yako.
Wakati mwingine anakuwa adui yako.
Wakati mwingine anakuwa boss wako vice versa is also true.
Wakati mwingine mume unakuwa polisi na mke mfungwa vice versa is also true
Wakati mwingine chumbani kunageuka ulingo wa masumbwi na watoto washangiliaji
Wakati mwingine mnakuwa majirani kila mtu hajui kinachoendelea kwa jirani yake
Wakati mwingine mnakuwa mtu mmoja indivisible being
Wakati mwingine mmoja anakuwa Mtoto na mwingine ni mzazi.
Na haya ndiyo huwa maisha yetu ya kila siku ndoani.
Asikwambie mtu hakuna Kitu kinachoongeza heshima na hadhi ya mtu kama ndoa.
Onyo. Usiulizie matumizi ya hela za mkeo jifanye huoni yanayoendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Relax..hii mada mm n ya matukio ya muda sasa nishasahau kbs!naona uvv ht kujibu!Sasa hapo si umejioa???
Asilimia kubwa ya wake za watu ndo wanaongoza kwa kuliwa kimasihara na ukweli mchungu ni kwamba kama ulimkuta sio bikra ina maana alikuwa na mtu wake au na watu wake ambao siku akikutana nao sehemu nzuri wanapiga!
Mkeo kila mwezi anaenda kijijini kwao eti kumsalimia mama ujue kuna masela amewamiss tena ukute huko kijijini kuna jamaa halijatahiriwa ndo lilimtoa bikra hivyo kila akienda linamnyonyoa kavu kavu.![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado huku mitaani ndo usiseme wake zetu wanaliwa na hawa vijana wapaka rangi za kucha...na huko makanisani manabii wanawatomba sana wake zetu.
Ngoja niishie hapa maana nna hasira sana!!!
Alikuwa na miaka mingapi????1. Alikua anataka kunitawala yaani yeye awe juu mimi niwe chini yake, yaani mimi niwe kama mwanamke na yeye awe mwanaume
2. Tendo la ndoa mpaka atake yeye au ajisikie
3. Jeuri na kiburi vyote vyake ana majibu ya hovyo yaani anaweza kunijibu anavyotaka kama anamjibu mwanae
4. Alikua anatabia ya kunikorofisha makusudi nikichukia ananisema vibaya kwa majirani na ndugu zake mwisho mimi naonekana mbaya ( HII NDIYO SABABU KUU ILIYOPELEKEA NIMUACHE )
Yaani naweza kusema yeye alikua akifurahi kuniona mimi nikiwa matatizoni maana kama kuna mtu ananidai basi yeye atasimama kidete utadhani yeye ndo anayenidai
5. Mbishi...ukimwelekeza kitu kwa nia ya kumwelewesha ye hataki anajiona mjuaji kwa kila kitu
Yaani yeye akishasema kitu ndo kasema hivyo anachotaka ni utekelezaji tu(FINAL SAY )
6. Hataki kusemwa au kukosolewa pindi anapokosea ( kuna kipindi alikua akionea watoto wa dada yangu kumbe wale watoto mmoja ambaye ni mkubwa alikua akiwaambia wazazi wake Baba na Mama ila wao walikua hawamwambii kwa kuhofia ataonekana hapendwi ila siku mtoto akaja kushtaki kwangu nikamchana kwamba anachokifanya sio kitu kizuri....AKANUNA HUYOOO...akaona haitoshi akajitenga yeye na mtoto wetu wa kwanza akawa anamtenga asicheze na wenzie, kuona hivi nikamwita tena kisha nikamwambia tena mbele ya Dada, alichosema dada ni kwamba hizo taarifa ye aliambiwa muda tu ila alishindwa kuniambia mimi kwa kuhofia nitaona anamchukia wifi yake )
7. Mbinafsi...Changu chake....chake ni chake hata kama mimi ndo nilipambana au nilifanikisha mpaka akakipata ila ni mwiko kunishirikisha...( Kuna kipindi alikua akifanya biashara flani sijawahi kushirikishwa kuhusu mapato wala nini yaani akimaliza biashara hela inafichwa hukooo...ila mimi nikirudi kazini nikitoka tu akawa anasachi mifuko ya suruali zangu ajue kuna pesa kiasi gani akikuta pesa, kesho yake ataanza kuniambia anadaiwa nikimwambia sina hela atanijibu zipo kiasi fulani kwenye suruali yangu yaani hata kama tayari ipo kwenye bajeti ya kodi ya nyumba ye atataka itumike anavyotaka yeye mwisho wa siku naanza kuhangaika peke yangu ye ananiangalia tu )
8. Anaigiza....yaani yeye anaishi ili kuwafurahisha majirani au watu, yupo tayari kwenda kumsaidia kazi jirani huku zilizopo ndani hakuzimaliza kisha baadae anaanza kulalamika kuchoka nikimwambia ananijibu mimi MSHAMBA WA MAISHA
9. Ameharibiwa na vipindi vya kwenye runinga hasa hivi vya kina Mama Terry bila kusahau na Bongo Movie
10. Anapenda kujionyesha....yaani anataka kuonekana yeye yupo juu kwa lugha nyepesi hataki kuishi katika uhalisia anataka kuonekana anaishi maisha fulani hivi ya hadhi ya juu
N.B;
KIPINDI CHA UCHUMBA TABIA HIZI SIKUWAHI KUZIONA MAANA NILIANZA NAE MAHUSIANO 2014 HADI 2018 MWISHONI NDO TULIFUNGA NDOA
Huyo sidhani kama kichwani alikuwa mzimaHuenda wako kabadilika, ila huyu hawezi kubadilika maana kama angekua wa kubadilika angebadilika tangu nilipompa likizo
Alichokifanya sasa baada ya kusikia namrudisha kwao akafungasha vitu vyote alivyokuja navyo na nilivyonunua kipindi naishi nae
Siku ya pili akaenda kufungua kesi ya madai ya malezi ya watoto ( hapa nikashtuka kwamba anataka kutumia watoto kupata pesa wakati hata asingeenda mimi ningewahudumia wanangu kama kawaida )
Baada ya hapo akawa anakuja kutembelea rafiki zake ( hapo sijui kwao alikua anaaga anaenda wapi maana alikua analala kwa rafiki zake anaondoka siku ya pili ) hapo alikua akinikuta nimekaa nje ananipita kama kisiki nami nikawa namkaushia tu
Akawa akikuta mlango wa chumbani kwangu sijafunga na funguo akawa anachungulia na kusepa sijui alikua anafikiri nimenunua vingine?!![emoji5]
Hao rafiki zake wenyewe hawajaolewa mmoja ndo kamaliza kidato cha nne mwingine anafundishwa kushona nguo
Wiki iliyopita ndo sikumuona kesho naenda kuongea na mzazi wake na kutoa TALAKA rasmi
🏃♀️🏃♀️🏃♂️🏃♂️🚶♀️🚶♀️🚶♂️🚶♂️Pole,wahanga tupo wengi
Umeepuka matatizo mengi sana...Ya jan huko..mm nishasahau 👯👯
Nipo salama sana mkuu!unasamahe na kuendelea na maisha mengine ..!Umeepuka matatizo mengi sana...
Kusamehe kunaleta furaha kubwa na amani. Hongera sanaNipo salama sana mkuu!unasamahe na kuendelea na maisha mengine ..!
Nimemuoa akiwa na miaka 24 .....Alikuwa na miaka mingapi????
Au alikubali Kuolewa sababu ya mimba HakukupendA???
[emoji1] [emoji1] [emoji1] yamekuwa hayoNipo ndani ya ndoa kwa miaka 16 sasa. 80% ya maisha ndani ya ndoa sijawahi kuwa na furaha.
Nilichogundua. Kuoa ni kuamua kumiliki mtu. Tena mwenye akili zake. Ni shida kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app