bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Ndoa haina Bruce Lee kuna jamaa yangu alioa kwa mbwembwe nyingi sana akatutenga washikaji akajona ameyapatia sana kumbe wajuzi walikua wanamuhesabia mda , mwaka hauja isha tayari hakukaliki ndani jamaa kawa mlevi ugomvi kidogo tu mke anadai waachane
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa hivi anakula ile sehemu tamu laini ya mua bado hajafika kwenye fundo
Jr[emoji769]
Sent using Jamii Forums mobile app