ceicey
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 306
- 356
Mimi siwezi kuandika sababu mimi siyo mkeo, kwa hiyo hatufanani....unaweza kuta vitu navopenda mie mkeo hapendihapana aisee[emoji23][emoji23],hebu vitaje hivyo vitu japo viwili au vitatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siwezi kuandika sababu mimi siyo mkeo, kwa hiyo hatufanani....unaweza kuta vitu navopenda mie mkeo hapendihapana aisee[emoji23][emoji23],hebu vitaje hivyo vitu japo viwili au vitatu
Kukaa kando ni kutolalkutolalamika tena najihudumia kwa kila kitu!easy maa!
Nami nimekuwa hivo now, and am very very happy
Nami nimekuwa hivo now, and am very very happy
Ngoma droona wao wanachukua usukani na michepuko
Jamani hakuna kitu kibaya hapa duniani kuwa na mtu mbinafsi! ..nadhan wengi hawaijui...yaan unajitoa weee....huoni ishu kuspend hata milions kwa ajili ya mwenzako...uje sasa kwake...!***** sana maisha haya! Mimi mtu mbinafsi namfananisha kbs na MCHAWI!.polr sana nakuelewa mno! Mm bora unicheat lakini usiwe mbinafsi[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
Kajioa kweli, ila wamama wakwe wengine ni wabaya sana yaani sijui huona nini kwa watoto wao kuishi vizuri na mkeweSasa hapo si umejioa???
Hiyo ya kuliwa naikataa kabisa , tuseme ni wachache wachache tena wenye tabia hizo,Asilimia kubwa ya wake za watu ndo wanaongoza kwa kuliwa kimasihara na ukweli mchungu ni kwamba kama ulimkuta sio bikra ina maana alikuwa na mtu wake au na watu wake ambao siku akikutana nao sehemu nzuri wanapiga!
Mkeo kila mwezi anaenda kijijini kwao eti kumsalimia mama ujue kuna masela amewamiss tena ukute huko kijijini kuna jamaa halijatahiriwa ndo lilimtoa bikra hivyo kila akienda linamnyonyoa kavu kavu.![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado huku mitaani ndo usiseme wake zetu wanaliwa na hawa vijana wapaka rangi za kucha...na huko makanisani manabii wanawatomba sana wake zetu.
Ngoja niishie hapa maana nna hasira sana!!!
Mzee ushawahi kuchapiwa nini??Asilimia kubwa ya wake za watu ndo wanaongoza kwa kuliwa kimasihara na ukweli mchungu ni kwamba kama ulimkuta sio bikra ina maana alikuwa na mtu wake au na watu wake ambao siku akikutana nao sehemu nzuri wanapiga!
Mkeo kila mwezi anaenda kijijini kwao eti kumsalimia mama ujue kuna masela amewamiss tena ukute huko kijijini kuna jamaa halijatahiriwa ndo lilimtoa bikra hivyo kila akienda linamnyonyoa kavu kavu.![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado huku mitaani ndo usiseme wake zetu wanaliwa na hawa vijana wapaka rangi za kucha...na huko makanisani manabii wanawatomba sana wake zetu.
Ngoja niishie hapa maana nna hasira sana!!!
Kesho tutawasilina kule kandoKukaa kando ni kutolalkutolalamika tena najihudumia kwa kila kitu!easy maa!
Sasa nawewe ukiwa kivyako vyako unaonekana si mwanamke bora, na wapo wengi sana
Alafu ww hulali?au ndo kulea ndoa huko😅!Kesho tutawasilina kule kando
Ndo hivo, jino kwa. Jino, na dawa ya moto ni motoNami nimekuwa hivo now, and am very very happy