Mada maalum kwa wanandoa

vitu gani huvipendi toka kwake?? samahani lakini
 
Mimi nimeamua kukaa kando!kiroho safi ..ingawa nna uchungu sana sana..najaribu kuhimili hii hali lakini nafeli vby sana sana...!silali!
Pole,wahanga tupo wengi

 
Bila samahani...sipendi alivyo mbinafsi, hiko ndo kikubwaa, , , kingine anakunywa sana pombe anapenda pombe kupitiliza, , ,


Jamani hakuna kitu kibaya hapa duniani kuwa na mtu mbinafsi! ..nadhan wengi hawaijui...yaan unajitoa weee....huoni ishu kuspend hata milions kwa ajili ya mwenzako...uje sasa kwake...!***** sana maisha haya! Mimi mtu mbinafsi namfananisha kbs na MCHAWI!.polr sana nakuelewa mno! Mm bora unicheat lakini usiwe mbinafsi😣😣😣😣
 
basi mimi sijaielewa hii dhana ya ubinafsi, mwanaume mbinafsi yupoje?
 
zipi ni sifa za mwanamme mbinafsi?? sijawahi kuelewa mwanaume mbinafsi yupoje
 
it seem like he is not caring you
Yeah...nikwambie kitu braza, , kama upo kwenye ndoa, , najua kuna vile vitu mkeo anapenda na unajua anavipenda hata kama kwako unaona ni vyakipuuzi jitahidi kumpa, siyo yeye tu anajitahidi kukupa kila unachotaka wewe walaa ujigusi upo upo tuu!! Mimi ni mvivu sana wakuandika, sijui utakuwa umenielewa?
 
Bora kama umenielewa mkuu, inaumiza sana hiyo kitu....
 
hapana aisee[emoji23][emoji23],hebu vitaje hivyo vitu japo viwili au vitatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…