Mada maalum kwa wanandoa

Sasa nawewe ukiwa kivyako vyako unaonekana si mwanamke bora, na wapo wengi sana
 
Hiyo ya kuliwa naikataa kabisa , tuseme ni wachache wachache tena wenye tabia hizo,
wapo wife material ila hawana waume bora
 
Mzee ushawahi kuchapiwa nini??
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]
Kajioa kweli, ila wamama wakwe wengine ni wabaya sana yaani sijui huona nini kwa watoto wao kuishi vizuri na mkewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…