Mada maalum kwa wanandoa

Ndoa haina Bruce Lee kuna jamaa yangu alioa kwa mbwembwe nyingi sana akatutenga washikaji akajona ameyapatia sana kumbe wajuzi walikua wanamuhesabia mda , mwaka hauja isha tayari hakukaliki ndani jamaa kawa mlevi ugomvi kidogo tu mke anadai waachane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa hivi anakula ile sehemu tamu laini ya mua bado hajafika kwenye fundo

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji144][emoji144][emoji144][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 

Jr[emoji769]
 
Naungana na ww Mkuu kwa ulichokiandika. Na ndoa yako ikiwa hivyo lazma uwe mtu wa furaha
 
Ndoa znachangamoto nying sana ila mie kubwa yang mke wang ni mbinafsi tunafanya kaz wote lkn sijawah ona hela yake ndani inafanya nini zaid ya kusema sijui nmemtumia mdogo wang chuo

Nikaona isiwe tabu nikachunguza nikakuta kumbe anajenga nyumba na ipo kweny lenta
Nkamwambia akasema ni surprise, nikaona nimeoa mke ambae sio wang
Nikaona bora kila mmoja afanye mambo yake nikagoma kutoa matumiz akaanza kuomba talaka nikampa , nikaaa mwaka mmoja nikaoa pisi kali ina upendo na mie tumejenga nyumba mbili mpk sasa na tuna gari pia na biashara zinaenda vzr
NB walio oa wake wafaanyakaz wa sector binafs au serikalin asilimia kubwa hawana furaha na ndoa zao alaf uwa wanaona kaz zao ndo muhim zaid kuliko ndoa
 
Naamini falsafa hii pia, wanawake ni mabingwa wa kupretend. Usipokua makini utaoa galasa bila kujua. Mkikaa muda mrefu kwenye uchumba utajua yapi ya kuvumilika yapi ya kubadilisha.

Ujie kuna watu hawapendi kujibu text/kupokea simu/ kuongea sana/ hasira za haraka/ kununa nuna, sasa ukiyajua hayo yatakusaidia hata ndoani kutoshangaa coz unajua unammudu vpakionesha moja ya tabia zake ambazo unazijua. Kuliko umeoa ndo kaanza kununa au hasira za chap unasema ohooo tayari ashapata bwana huyu.
 
NB walio oa wake wafaanyakaz wa sector binafs au serikalin asilimia kubwa hawana furaha na ndoa zao alaf uwa wanaona kaz zao ndo muhim zaid kuliko ndoa[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Kutoana out kama hakuna kusikilizana na kuheshimiana haisaidii. Rejea vitabu vya dini vinavyotaka mume na mke waishi vp, huo ndio msingi. Mwanaume atekeleze majukumu yake kama mume na mwanamke atekeleze majukumu yake kama mke, period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…