Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

😂😂😂 nilishindwa kukujibu siku ile pm coz ulichoandika ndo nilochokipata..dadek..3wks nw nipo kitaa😂😂😂..naumiaa naliaa...nimemuona kaishaaa amechakaaaa...analia tu mahaman nabaki kugugumia😑😑😢😢😢..hapana mamy nakaa kando..
alafu kumbe kuachana ni kugumj hvyo jaman😂😂😂..nimegonga kuta jaman..had kukaa kando kwa muda walikataa...ujuha huu..unanilazimisha nirudi kwangu unajua napitia yapi😢... !
So touching
 
Ni siku nyingine tena imepita, tumerudi salama majumbani mwetu, kuungana tena na wapendwa wetu, familia na watoto pia... Baadhi yetu hatujarejea, tuko mishe na viti virefu... Baadhi tuna sababu za msingi na nyumbani wanafahamu na tumewapa taarifa, wanatusubiri watupokee kwa upendo, kwa furaha kwa bashasha kuu

Baadhi hali ni tofauti, hatungependa kuchelewa nyumbani.... Tungependa tuwahi, tuungane na familia, tuimalize jioni kwa furaha kuu kabla ha

Niseme nini?
 
Miaka miwili ya furaha mitano ya karaha, chungu na makorokocho yoteee, moyo ulikufa ganzi hadi leo, kiukweli ndoa yahitaji moyo, niliamua kujitoa, na kibaya zaidi nliolewa na umri mdogo aiseee hapana,sina hamu wacha nibaki na niliye nae wa kupunguziana nanihii tu
 
Nadhani kwenye ndoa mkiwa mnatoana 'out' inapunguza mambo mengi sana,sasa unakuta bi. mkubwa alipokuwa binti 'out' zilikuwa nyingi,ameanza kuchuja (mtoto 1,2,3 n.k) hakuna 'out' hapo lazima utengeneze bomu tu.Jamani tuende nao 'out' ata kama wamezeeka,itasaidia sana.

Sasa mtu amezeeka na mtambi huo utafikiri meneja wa kiwanda cha utapiamlo au mataptap, utoke naye out kwa misingi ipi, watu si watakushangaa? Wanawake wanajidhalilisha wenyewe, utajiachiaje kwa kujiharibu shepu kisa umezaa?
 
Mkuu nimeshindwa niongeze nini, umesema ukweli mtupu, japo mimi nina mwaka na nusu kwenye ndoa lakini kama napata nafasi ya kurudisha past basi nisingeoa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Aisee...! Mi nna miezi miwili tu ya ndoa nafikiria kutoa Talaka nibaki maisha yangu ya usela maana kabla sijaoa nilikua na furaha lakini sa hv furaha ni asilimia tano tu
 
Yani mtoa mada,kama ulikuwepo vile,ndoa sio lelemama.
Ila naona wanaume kwenye ndoa ndo waharibifu kuliko sisi wanawake,,hawachukulii kwa uzito hata ukiongea vipi ,anakaa siku mbili tatu kero iko palepale,


Ulishawahi kuona mwanamme anafurahia ndoa siku ya kufunga? Bibi harusi anakuwa mtu wa furaha na bwana harusi anawaza ataanzaje kumfunga kamba bi harusi ili aendeleze kubembeleza nyumba ndogo na kufurahisha nafsi yake. Ndoa ni kwa ajili ya wanawake tu, kwetu wanaume ni zigo la hasara.
 
Nipo ndani ya ndoa kwa miaka 16 sasa. 80% ya maisha ndani ya ndoa sijawahi kuwa na furaha.

Nilichogundua. Kuoa ni kuamua kumiliki mtu. Tena mwenye akili zake. Ni shida kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo bado unammiliki huyo mtu wako mapaka sasa? Kama ni ndiyo basi wewe unapenda ndoa na kumiliki watumwa.
 
Sasa
Asante sana nikupe pole mnaweza kuyatatua mkae chini mrekebishe mnapokosea na mkubali kubadilika kila mmoja kwa nafasi yake
Mkuu kama mimi huyu wangu naweza kutaka kuzungumza naye ili tujadili maisha yetu kiujumla ananijibu, "KWA SASA SINA MUDA NINA SHUGHURI ZANGU/NIMECHOKA/NALALA/KESHO NAFANYA USAFI" yaani kwa sasa naamua hata kufanya swala la maendeleo kwa ajili ya maisha yetu ya baadae mwenyewe au namshirikisha Dada yangu

Sijaona faida ya kuwa katika ndoa zaidi ya kuepuka dhambi ya kuzini

Ndoa ndo kwanza ina MIEZI MIWILI

Nafikiria kutoa Talaka nirudie maisha yangu ya usela
 
Ulishawahi kuona mwanamme anafurahia ndoa siku ya kufunga? Bibi harusi anakuwa mtu wa furaha na bwana harusi anawaza ataanzaje kumfunga kamba bi harusi ili aendeleze kubembeleza nyumba ndogo na kufurahisha nafsi yake. Ndoa ni kwa ajili ya wanawake tu, kwetu wanaume ni zigo la hasara.

Inawezekana unachoongea ni kweli, ndoa ni zigo kwa wanaume.naona nyie mnachoka haraka kule wanawake..ha ha ha umenichekesha
 
Back
Top Bottom