Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Kisa cha kunicheka? Teh[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisa cha kunicheka? Teh[emoji23][emoji23]
So touching😂😂😂 nilishindwa kukujibu siku ile pm coz ulichoandika ndo nilochokipata..dadek..3wks nw nipo kitaa😂😂😂..naumiaa naliaa...nimemuona kaishaaa amechakaaaa...analia tu mahaman nabaki kugugumia😑😑😢😢😢..hapana mamy nakaa kando..
alafu kumbe kuachana ni kugumj hvyo jaman😂😂😂..nimegonga kuta jaman..had kukaa kando kwa muda walikataa...ujuha huu..unanilazimisha nirudi kwangu unajua napitia yapi😢... !
Nakufurahia tù...mwoga wanguKisa cha kunicheka? Teh
😢So touching
FactEm usiongee sana hapa mane, ukipata kamuda uje tu pm tubonge. Kuachana sio rahisi kama tunavyoandika humu.
[emoji3][emoji3] haya buananakufurahia tù...mwoga wangu
Najaribu kulala mie...So touching
Hata nyinyi wanawake ni waharibifu pia.Yani mtoa mada,kama ulikuwepo vile,ndoa sio lelemama.
Ila naona wanaume kwenye ndoa ndo waharibifu kuliko sisi wanawake,,hawachukulii kwa uzito hata ukiongea vipi ,anakaa siku mbili tatu kero iko palepale,
Yaani tangu useme unalala zimepita dk 45najaribu kulala mie...
Ni siku nyingine tena imepita, tumerudi salama majumbani mwetu, kuungana tena na wapendwa wetu, familia na watoto pia... Baadhi yetu hatujarejea, tuko mishe na viti virefu... Baadhi tuna sababu za msingi na nyumbani wanafahamu na tumewapa taarifa, wanatusubiri watupokee kwa upendo, kwa furaha kwa bashasha kuu
Baadhi hali ni tofauti, hatungependa kuchelewa nyumbani.... Tungependa tuwahi, tuungane na familia, tuimalize jioni kwa furaha kuu kabla ha
Nadhani kwenye ndoa mkiwa mnatoana 'out' inapunguza mambo mengi sana,sasa unakuta bi. mkubwa alipokuwa binti 'out' zilikuwa nyingi,ameanza kuchuja (mtoto 1,2,3 n.k) hakuna 'out' hapo lazima utengeneze bomu tu.Jamani tuende nao 'out' ata kama wamezeeka,itasaidia sana.
Aisee...! Mi nna miezi miwili tu ya ndoa nafikiria kutoa Talaka nibaki maisha yangu ya usela maana kabla sijaoa nilikua na furaha lakini sa hv furaha ni asilimia tano tuMkuu nimeshindwa niongeze nini, umesema ukweli mtupu, japo mimi nina mwaka na nusu kwenye ndoa lakini kama napata nafasi ya kurudisha past basi nisingeoa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yani mtoa mada,kama ulikuwepo vile,ndoa sio lelemama.
Ila naona wanaume kwenye ndoa ndo waharibifu kuliko sisi wanawake,,hawachukulii kwa uzito hata ukiongea vipi ,anakaa siku mbili tatu kero iko palepale,
Nipo ndani ya ndoa kwa miaka 16 sasa. 80% ya maisha ndani ya ndoa sijawahi kuwa na furaha.
Nilichogundua. Kuoa ni kuamua kumiliki mtu. Tena mwenye akili zake. Ni shida kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama mimi huyu wangu naweza kutaka kuzungumza naye ili tujadili maisha yetu kiujumla ananijibu, "KWA SASA SINA MUDA NINA SHUGHURI ZANGU/NIMECHOKA/NALALA/KESHO NAFANYA USAFI" yaani kwa sasa naamua hata kufanya swala la maendeleo kwa ajili ya maisha yetu ya baadae mwenyewe au namshirikisha Dada yanguAsante sana nikupe pole mnaweza kuyatatua mkae chini mrekebishe mnapokosea na mkubali kubadilika kila mmoja kwa nafasi yake
Ulishawahi kuona mwanamme anafurahia ndoa siku ya kufunga? Bibi harusi anakuwa mtu wa furaha na bwana harusi anawaza ataanzaje kumfunga kamba bi harusi ili aendeleze kubembeleza nyumba ndogo na kufurahisha nafsi yake. Ndoa ni kwa ajili ya wanawake tu, kwetu wanaume ni zigo la hasara.
Ipoooo ya kufarijiana[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe Kuna fursa hapa sibanduki
Pole, hayafai kuzungumza?Mimi nimeamua kukaa kando!kiroho safi ..ingawa nna uchungu sana sana..najaribu kuhimili hii hali lakini nafeli vby sana sana...!silali!