Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
unadhan nimeanza kuwaambi muda bas yalinifikia hapa..mwaka 2017 ndo nikaanza waambia...wakawa hawaamini kbs..mwaka huo huo wakamwita akakiri atabadilika..hajabadilika..ukiwapelekea kesi kwao hakuna ht kumwita..wapo tu..sijakosea shunie...maisha yangu ww ht ww usingeweza kuishi na huyu..ht mamangu mzaz asingeweza kbs..ni mtu ambay hajali kbs...yaan walaaa...anajua huyu amejitosheleza..yaam sijui nikuambiaje..yaan yule ht utokee msiba hajigusi kuchanga..yupo tu yaan mshahara wake haurlewk unaenda wap...ht niugue vip walaa...anakuangalia tu😂😂...yaan mm nisipochakarika ndo nyumba inakosa dirwction...yaan ni yule wa kuamka na kuoga na kuondoka..ada tunashea..i meana na mm alisema nisomeshe m1😂😂mshahara wake yy naingia mm mara 6..hajui manengelo ni wife ana mahtj yake...hajigusi kwa lolote lile..yaan zezeta hafiki kwake..yy ni pombr tu..hana ht mawazo ya kutagta kabiashara mwenzako...Halafu na wewe unakosea sio kila ukigombana na mme wako unawaambia ndugu zako jamani unakosea sana mwisho wa siku wanamchukia tu kama hivyo
mm nikifungua kabiashara atakupa bigup kibao..akianza kuona kanasimama anaanza choko choko...akutafute tu akakufungie..juzi kaulizwa eti mkeo anachosrma hujawah mpa ht laki 1 ni kweli?akasema huo ni udhaifu wangu..nitajitekebisha..yaan ni yy na wanae tu...ss iba simu yake uone mpesa kqa mamake huko ..mara laki 5..tena anakiambia kns mama amenionbq laki 5 dah..sina..anakiambia nitagtie mkopo..yaan yuko radhi ampe mamake laki 5 za kukopa shoga...amejaa maden tu..namanisha madeni...ss mm wakaz gan huyo?mbinafs kufa...ni ndoa ya kutegeana..akiona luku imekata anakuambia nunua nitakirefund end of month yaan yy kila kitu anakuanbai fanya nitakulipa mshahara ukitoka..!jaman si bora nikakaa alone...?inafikia kipindi unakosa kns hisia naye..yaan unajiuliza maswali hayana majibu