Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Ile msg ilisema hivi... Mpemba unakula jicho vizuri mpaka nakata moto kwa utamu [emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji35][emoji34]

Jr[emoji769]
 
Kama mlikuwa pamoja tangia secondary hapo sawa ila baada ya kufika level flani ni bora mkaoana kabisa maana maisha yanabadilika
Hahaha hahaha
Kawaida tuu ujue... Sasa tumeanza toka nakuwa unadhani tutakuwa na miaka mingapi jamani! Kanisubiria mnoooo na mie saivi namsubiria pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo matatizo ni yenu wenyewe mimi nitaoa bila wasiwasi wowote..
Nikikutana nayo humo yatakua matatizo yangu,lakini sitegemei matatizo mbona kuna ndoa nyingi tunaziona zikiishi vizuri tu,ndani na chumbani ila msiniulize ya chumbani nimeyajuaje mimi ni mchawi😂..
 
Aiseee... Ungepiga cha mbwa mwizi kabisaaa aki! Anotoa jichooo! Ungemloga wallah
Keshakufwa kabisa.... [emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]nilikuwa nagharimia matumizi ya kwao mpaka ada za wadogo zake na matibabu pia.... Halafu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji34][emoji35][emoji35][emoji34][emoji35]

Jr[emoji769]
 
Keshakufwa kabisa.... [emoji34][emoji35][emoji34][emoji35]nilikuwa nagharimia matumizi ya kwao mpaka ada za wadogo zake na matibabu pia.... Halafu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji34][emoji35][emoji35][emoji34][emoji35]

Jr[emoji769]
Apumzike kwa amani..
Na wewe ulijitoa sana, kwani wewe ndo baba yao ama?!
 
Back
Top Bottom