Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

2WD ni mbadala wa 4WD, na Kama gari yako sio full-time 4WD basi mara nyingi huwa kwenye mode ya 2WD, hizo D-DRIVE, N-NEUTRAL NA P-PARKING hazina uhusiano wa moja kwa moja ni 2WD au 4WD

Naomba kuelimishwa tofauti iliyopo katika gari za 2WD, 4WD na AWD
 
[QUOTE=mshana jr
Naomba nami kuungwanishwa whatsapp namba yangu 0659 211 222

Vilevile nimeipenda sana biashara ya Auto sales & service ikijumuisha:-
1.car service (garage) kwa gari ndogo tu
2.car wash na
3.kuuza spare parts za gari ndogo
Kwa uzoefu ulionao katika magari, je biashara hii inalipa? Changamoto zake zipi? Eneo lipi ni potential?
Regards
 
naomba kuuliza....tyre za gari huwa zinaexpire baada ya muda gani from date of manufacture?
 
mshana jr, [MENTION]Kaizer[/MENTION] [MENTION]PRONDO[/MENTION] na wakuu wengine, radio ya gari yangu Mark Ten haina usb port, nimekuwa mtu wa maCD na radio stations, wakati mwingine natamani nitumie flash nashindwa. Nifanyaje? Kuna option ya kuweza kuongeza hiyo??
 
Mkuu mfano Mark X ina V6 engine, je hii ni ipi kati ya hizo ulizotaja? Nini faida na hasara ya engine hizi?
 
Nunua USB player ya gari connect frequency ziendane na kwenye radio ya gari mfano 88.0 kwa 88.0 , kisha tumia flash au memory card
 
Nunua USB player ya gari connect frequency ziendane na kwenye radio ya gari mfano 88.0 kwa 88.0 , kisha tumia flash au memory card

Mkuu badilisha hiyo radio. Weka Hii utaenjoy. Sony XAV 602BT
 
Attachments

  • 1443967782060.jpg
    18.7 KB · Views: 330
  • 1443967791226.jpg
    8.9 KB · Views: 601

Solution rahisi ni kama alivosema mshana jr apo juu nunua car mp3 player weka flash yako kisha sync frequency.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mfano Mark X ina V6 engine, je hii ni ipi kati ya hizo ulizotaja? Nini faida na hasara ya engine hizi?

Injini ya mark x ni 2.5L, 4GRe FSE V6....:V ni shape ya engine ilivokuwa mounted kwenye engine compartment na 6 ni idadi ya cylinder kwa injini. Kuna 5GR FSE and so on.
 
Wadau kuna kitu nime note kwa hizi gari zetu ili usichoke dash board na ndani kwa ujumla tusishushe vioo kwasababu ya vumbi linachakaza sana muonekano wa ndani wa gari kwaio ni vyema tuka washa a/c
 
Wadau kuna kitu nime note kwa hizi gari zetu ili usichoke dash board na ndani kwa ujumla tusishushe vioo kwasababu ya vumbi linachakaza sana muonekano wa ndani wa gari kwaio ni vyema tuka washa a/c

Mimi principle yangu ni hiyo huwa sijawahi fungua vioo kwenye gari zangu hata siku moja
 
Wadau kuna kitu nime note kwa hizi gari zetu ili usichoke dash board na ndani kwa ujumla tusishushe vioo kwasababu ya vumbi linachakaza sana muonekano wa ndani wa gari kwaio ni vyema tuka washa a/c

This is very very point...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…