Nunua USB player ya gari connect frequency ziendane na kwenye radio ya gari mfano 88.0 kwa 88.0 , kisha tumia flash au memory card
mshana jr, [MENTION]Kaizer[/MENTION] [MENTION]PRONDO[/MENTION] na wakuu wengine, radio ya gari yangu Mark Ten haina usb port, nimekuwa mtu wa maCD na radio stations, wakati mwingine natamani nitumie flash nashindwa. Nifanyaje? Kuna option ya kuweza kuongeza hiyo??
Naomba nimsumbue tena Angelo007
4-5 years
Copied
Ya bei ghali kabisa ni elfu 40 kwa uzoefu wangu ukiwa tayari umeshainunua nitakuelekeza
Ukishanunua mp3 player ichomeke pale pa kuwashia sigara.search frequency kama ulivyoambiwa..kumbuka ku adjust volume ya mp3 player iwe zaidi ya nusu au nusu ili uwe una adjust volume kwenye radio tu then endelea kula mziki.
Urembo mwingine haupendezeshi gari
Mhh zile vimeo ni substandard maduka mengi ya radio za magari zipo
Wakuu, nina gari yangu raum model ya 2003. Hivi juzi imeweka taa ya 'CHECK ENGINE' nikampelekea fundi mmoja akacheki akasema tatizo litakua oxygen sensor lakini akawa hana diagonisis machine ili ahakikishe so nikawasha gari nikasepa. Sasa kabla sijapeleka kwa fundi wengine ningeomba ushauri wenu na uzoefu kwanza.
Kama inawaka na kuzima Yaweza kuwa timing belt...
ushauri wenu na uzoefu kwanza.