Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wakuu vipi kuhusu Toyota Allion ukilinganisha na Carina Ti na je naweza kuipata kwa sh ngapi hivi kibongobongo?
 
Mkuu unamaanisha nikiwa na hiyo amount which is roughly 5.5m sahz hapa napata Allion hapa bongo?
 
Naomb kujua sheria ya nchi unaruhusiwa kuendesha gari speed ngapi km hakuna alama hatarishi
 
Naomb kujua sheria ya nchi unaruhusiwa kuendesha gari speed ngapi km hakuna alama hatarishi

Uwezo wako na umahiri wako tu, hata kama ni spidi 240 unakanyaga tuu
 
Naihitaji kaka, basi ikiiona mahali unistue. Vipi lkn ukilinganisha na carina ti....? Nilikuwa na ti nikapata nayo ajali mbaya

Allion sio ngumu kama Carina! Kwakuwa hapa wanapita wengi nafikiri utasaidika
 
mshanajr njoo hapa pia,Nina gari Toyota vista ardeo,D4 ya 3s ni mwaka 2001 nami nijulishe kama gari hii inatumia timing belt au timing chain. inazaidi ya km110,000 sasa.Pia nipe uzoefu wa gari ambazo gear box zake zimetengenezwa kwa material ya aluminium na mengine tofauti. Maana nataka kununua gari kati ya HARRIER ,CC2200-2400 na KLUGER V 2200-2440.Kati ya gari hizo mbili naomba unishawishi ninunue ipi kati ya hizo.asante
 
Last edited by a moderator:
Range Rover v8 p38 field, petrol engine, full-time four wheel, traction control, rangi dhahabu, automatic, ni ya mwaka 2005 bei 25 million anaetaka anitafute whatsup 0786870532
 
mshana jr mbona husomiki kwenye qoute yangu hapo juu?
 
Last edited by a moderator:

Mmh kuhusu hilo la timingbelt sina uhakika nalo sana
Kwenye uchaguzi nakushauri chukua Klugger hutojuta
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…