Sidhani kama ni CIF hiyo........
Wadau habari za jumapili? Nina gari aina ya rav4 old model auto transmission , wakati nikiwa nimewasha gari kuna alama Fulani inatokea kwenye dashboard ni alama yenye mchoro wa gari ambalo linawasha taa za nyuma. Naomba kujua alama hii inamaana gani kwenye gari wakati ambapo taa zote za gari zimezimwa na ishara inaonyesha gar linawasha taa za nyuma?? Naomba kuwasilisha
Swali langu ni alama hiyo iliyozungushiwa mstari mwekundu ina maana gani?
Nimechunguza taa zote zipo okay sijui shida ni nini??
Nashauri ukafanye diagnosis
Kwa hiyo mkuu nifanyeje? Ninunue starter nyingine?
Nimechunguza taa zote zipo okay sijui shida ni nini??
Preta jamaa hawana makosa kwakuwa zile gari ni kwa matumizi yao na si kwa ajili ya export. Ukienda kule za export zote zina manual ya kidhungu na lugha nyinginezo kasoro kiswahiliUhuni wanaotufanyia wajapani kutupa manual books za kikwao.......huo ni umang'aa........tunatakiwa tucomplain wapi.......?.....sio utu kabisa........
Habari wadau
Nina gari langu rav 4 old model
Nimetoka kuosha full kwa car wash. Imekuwa nzito na inabadilisha na sauti yake kabisa inakuwa km gari bovu hususani ikiwa kwny silencer na ikiwa kwny mwendo mdogo.
Ila nikienda speed above 60km/hr ile muungurumo unapotea.
Haijawahi nitokea before.
Au maji yatakuwa yameingia kwny plugs
Wadau habari za jumapili? Nina gari aina ya rav4 old model auto transmission , wakati nikiwa nimewasha gari kuna alama Fulani inatokea kwenye dashboard ni alama yenye mchoro wa gari ambalo linawasha taa za nyuma. Naomba kujua alama hii inamaana gani kwenye gari wakati ambapo taa zote za gari zimezimwa na ishara inaonyesha gar linawasha taa za nyuma?? Naomba kuwasilisha
Uhuni wanaotufanyia wajapani kutupa manual books za kikwao.......huo ni umang'aa........tunatakiwa tucomplain wapi.......?.....sio utu kabisa........