Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wadau habari za jumapili? Nina gari aina ya rav4 old model auto transmission , wakati nikiwa nimewasha gari kuna alama Fulani inatokea kwenye dashboard ni alama yenye mchoro wa gari ambalo linawasha taa za nyuma. Naomba kujua alama hii inamaana gani kwenye gari wakati ambapo taa zote za gari zimezimwa na ishara inaonyesha gar linawasha taa za nyuma?? Naomba kuwasilisha
 
Kuna taa haiwaki huko nyuma.
 
Alama ya gari yenye taa
 
Attachments

  • 1449986992526.jpg
    1449986992526.jpg
    24.9 KB · Views: 320
Swali langu ni alama hiyo iliyozungushiwa mstari mwekundu ina maana gani?
 
Nashauri ukafanye diagnosis

Uhuni wanaotufanyia wajapani kutupa manual books za kikwao.......huo ni umang'aa........tunatakiwa tucomplain wapi.......?.....sio utu kabisa........
 
Nimechunguza taa zote zipo okay sijui shida ni nini??

Basi itakua parking sensors hizo......otherwise piga diagnosis ujue tatizo, maana muda mwingine unaweza kuwa umebadili bulb hila taa haijazima kwenye dashboard mpaka uweke kwenye diagnosis hili ali-reset
 
Uhuni wanaotufanyia wajapani kutupa manual books za kikwao.......huo ni umang'aa........tunatakiwa tucomplain wapi.......?.....sio utu kabisa........
Preta jamaa hawana makosa kwakuwa zile gari ni kwa matumizi yao na si kwa ajili ya export. Ukienda kule za export zote zina manual ya kidhungu na lugha nyinginezo kasoro kiswahili
 
Last edited by a moderator:
Habari wadau
Nina gari langu rav 4 old model
Nimetoka kuosha full kwa car wash. Imekuwa nzito na inabadilisha na sauti yake kabisa inakuwa km gari bovu hususani ikiwa kwny silencer na ikiwa kwny mwendo mdogo.
Ila nikienda speed above 60km/hr ile muungurumo unapotea.
Haijawahi nitokea before.
Au maji yatakuwa yameingia kwny plugs
 
Sentence ya mwisho ndio jibu sahihi
 
Wadau habari za jumapili? Nina gari aina ya rav4 old model auto transmission , wakati nikiwa nimewasha gari kuna alama Fulani inatokea kwenye dashboard ni alama yenye mchoro wa gari ambalo linawasha taa za nyuma. Naomba kujua alama hii inamaana gani kwenye gari wakati ambapo taa zote za gari zimezimwa na ishara inaonyesha gar linawasha taa za nyuma?? Naomba kuwasilisha

hapo hilo ni tatizo la taa za brake mkuu kutakuwa kunataa ya brake haiwaki au zote au kama uliwahi badili taa hukuweka taa orijino hivyo lazima uweke orijino.hapo ukitaka kukomesha hiyo taa inayowaka tafuta bulb used zote 2 za brake kisha zibadili.

na hiyo taa kwenye dash bord huwa inawaka baada ya kukanyaga brake pedal
 
Uhuni wanaotufanyia wajapani kutupa manual books za kikwao.......huo ni umang'aa........tunatakiwa tucomplain wapi.......?.....sio utu kabisa........

Basi bora wangekuwa wanaweka online manual book free for download. Ila napo huko wanazibania mpk ulipie. Hawa jamaa wapigaji kweli..
 
Back
Top Bottom