Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali


Inawezekena plugs zimeingia maji au kuna kitu kimechomoka........check vizuri coz ile pressure wanayotumia mara nyingine sio nzuri sana..........ilishawahi kunitokea kuna katube kalichomoka sikumbuki kalikuwa cha wapi........gari inakosa nguvu kabisa.....usipende sana wakuoshee na maji yenye pressure huko mara kwa mara...........
 
Basi bora wangekuwa wanaweka online manual book free for download. Ila napo huko wanazibania mpk ulipie. Hawa jamaa wapigaji kweli..

Wababa wabaya wale......na kuwakomesha tunachokonoa mpaka tunajua........limanual lao wakae nalo.........
 
Wakuu naombeni msaada! Gari yangu inawasha taa ambayo inafanana na ile ya temperature ila inarangi ya kijani, eti wakuu inaashiria nini.
 
Wakuu naombeni msaada! Gari yangu inawasha taa ambayo inafanana na ile ya temperature ila inarangi ya kijani, eti wakuu inaashiria nini.

Ni gari gani ? Namaanisha make yake...ukiweza piga picha lakini always ikiwaka kijani hakuna shida
Tatizo liko kwenye red na njano
-njano ni tahadhari/ caution
-red ni habari/danger unapaswa kuchukua hatua maramoja
 
: UFAHAMU:Matairi ya gari muda wake rasmi wa matumizi ni miaka minne ( 4 ) tu toka yatengenezwe (Sio toka uyafunge kwenye gari yako). Ikishapita miaka minne toka tairi litengenezwe linaweza kupasuka wakati wowote. Jinsi ya kutambua tairi lilitengenezwa lini tafuta alama kwenye tairi iliyoandikwa kwa mfumo huu (*2603*) kuna kuwa na alama ya nyota mwanzo na mwisho wa hizo namba nne. Namba mbili za kwanza zinaonyesha tairi lilitengenezwa wiki ya ngapi katika wiki 52 za mwaka na namba mbili za mwisho zinaonyesha mwaka tairi lilipo tengenezwa. Kwa mfano *2603* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 2003 au *2699* inamaanisha tairi lilitengenezwa wiki ya 26 ya mwaka 1999. KAGUA MATAIRI YAKO USITUMIE TAIRI LILILO PITA ZAIDI YA MIAKA MINNE KWANI LINAWEZA PASUKA WAKATI WOWOTE.
[13:54, 21/02/2015] Lovell Lewalle (Driver): Pia kila tairi limeandikwa uwezo wa spidi yake ukikimbiza zaidi ya uwezo wake itapasuka na hizo spidi zimeandikwa kwa herufi Kama ifuatavyo

CODE. SPIDI
F========80
G ========90
J ========100
K ========110
L ========120
M ========130
N ========140
P ========150
Q ========160
R ========170
S ========180
T ========190
H ========200


Huandikwa hivi
280/R/70/13/560/S
Hapo herufi S inawakilisha spidi,180.
 
Kwa mahitaji ya Magari ya kukodi kwaajili ya shughuli mbalimbali kama Sherehe, Mikutano, Study tour, Misiba na n.k..... Waone Custom_Venture . Vilevile wana carshades/ na electronic and automatic wooden/iron gates wanapatikana shekilango mkabala na Kilimanjaro Bus stand....au wasiliana nao kwa 0712999090/0763999090 au wafollow Custom_venture
Custom_venture Custom_venture Custom_venture Custom_venture Custom_venture Custom_venture
 
Last edited by a moderator:
Duh lege umenifungua akili mkuu, nashukuru
 
Nashukuru
 
narudia tena naomba niunganishwa kwenye group namba ni 0759152000
 
Weka na hii namba kwenye hilo group 0655517964 atawasaidia sana ni mzuri kwenye magari
 

Dah......imebidi nikachunguze........asante mkuu.......nipo safe side.......speed ni R.......na *4514*........kama nimesoma vizuri......maana kuna korokoro nyingi sana.........
 
msaada tatizo la passo kupiga kelele miguu ya mbele na kwenye staring
Hii gari inatoa kelele sana kwenye miguu nshapeleka kwa fundi lakini wapi bado kuna kelele znatokea kwenye staring au kwenye miguu nshachoka nayo kwa mwenye kuweza kunsaidia kusolve hili tatizo ntashukuru
Ionwe na: mshana jr , LEGE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…