mkuu wapatikana wapi kama bongo twaweza tafutana na mm nikaicheki? lakini vipi umejaribu kulipima? na ilikuwaje mpaka likaha hivyo? ulijaribu kucheki airflow sensor? je gari hsins miss?? daaa na maswali mengi sana mkuu.Habari mika wana jamvi,
Mimi naomba ufahamu kuhusu gari langu aina ya Kia sportage.... Inanisumbua inawaka lakini haichanganyi mafuta... Nimebadili plugs... Air flow na fuel injection zote lakini tatizo bado liko palepale na inatoa harufu kali ya mafuta yasioungua vizuri kwenye exhaust. Pls mwenye uzoefu na gari hizi anisaidie
Ha ha haaa sawa bwana.....Sasa kamanda wangu......si kawoshi watakufa njaa.....riziki mafungu 7 ujue.......
Naomba kufahamishwa juu ya engine ya gari aina ya 1AZ. Uzuri wake, ubaya wake na ulaji wake mafuta. Na upatikanaji wa spea. Nimeagiza Nadia nimeangalia engine nakuta ni 1AZ nimezoea kuona engine za 3S plz help kabla sijaingia mkenge though nimeshapata offer yao na profoma invoice.
Hizi gari zote za kisasa zenye cc ndogo zinatakiwa extra care handling lakini ni nzuri kwa town trips na mishemishe zisizo na fatiguemshana jr
1.Toyota Auris(Dada wa RunX,Allex) vipi ni ngumu na spare zinapatikana?
2.Unaweza i recommend over Raum New model?
pia kuna watu majuha mno eti anazima AC kufidia mafuta, huku ni kuchakaza gari kwa upumbavu au ubahili usio na tija:Fafanua kidogo hapo mkuu maana hata mimi ni mmoja wa hoa watu,Petroli inapokuwa kidogo sana kwenye gari huwa ninazima AC mpaka pale nitakapoongeza tena na kweli huwa inanisogeza mbali kidogo nikilinganisha na endapo AC ingekuwa ON.Utunzaji wa kawaida na kuzingatia service pia kupunguza mikono yaani madereva kwenye gari lako lakini pia kuna watu majuha mno eti anazima AC kufidia mafuta, huku ni kuchakaza gari kwa upumbavu au ubahili usio na tija
Lakini pia zingazia genuine kwenye chochote kuanzia lubricants mpaka parts ,mwendo wa tahadhari kwenye barabara mbaya nknk
Nyongeza Air cleaner yake iko safi vya kutosha,pump nk..Betri ipo poa....?.....plugs......?
Kuzima AC mafuta yanapokuwa chini ni kufidia au kupunguza matumizi ya mafuta.. Tafadhali fanya hivi kwa dharura tuupia kuna watu majuha mno eti anazima AC kufidia mafuta, huku ni kuchakaza gari kwa upumbavu au ubahili usio na tija:Fafanua kidogo hapo mkuu maana hata mimi ni mmoja wa hoa watu,Petroli inapokuwa kidogo sana kwenye gari huwa ninazima AC mpaka pale nitakapoongeza tena na kweli huwa inanisogeza mbali kidogo nikilinganisha na endapo AC ingekuwa ON.
Nisikujibu kuhusu piston bali ukubwa wa mashine ambayo ni 2500 mpaka 3000cc gari ya starehe isiyopenda dhoruba za mishemishe wala mafuta ya mawazoMshana Jr na wataala wote, Heshima kwenu..!
Plz naomba kujuzwa gari hii ina ukubwa wa Pistons ngapi na ubora wake kwa ujumla.
Toyota Harrier, MCU15W, Lexus, 2990cc, Engine 1MZ, Yr 1999, Petrol na ina bomba mbili (eksos)
Plz, naomba kuwasilisha...
Mshana Jr na wataala wote, Heshima kwenu..!
Plz naomba kujuzwa gari hii ina ukubwa wa Pistons ngapi na ubora wake kwa ujumla.
Toyota Harrier, MCU15W, Lexus, 2990cc, Engine 1MZ, Yr 1999, Petrol na ina bomba mbili (eksos)
Plz, naomba kuwasilisha...
kwa nyongeza ya jibu la mshana jr, gari hivo ina piston 6, engine V6 (1MZ-FE) pamoja na 4WD nyepesi.Nisikujibu kuhusu piston bali ukubwa wa mashine ambayo ni 2500 mpaka 3000cc gari ya starehe isiyopenda dhoruba za mishemishe wala mafuta ya mawazo
Ukiihudumia vema utaipenda