Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Maranyingi kinachoangaliwa ni chassis serial number ndio maana kabla ya gari kusajiliwa kinachoitambulisha ni chassis number... Lakini kujiridhisha zaidi nenda TRA investigation department kwa ufafanuzi zaidip
 
Asante kwa maelezo yako mazuri
 
Naomba msaada mwenye kujua wap naweza kupata bearing hub ya tairi ya nyuma toyota ist ya 2008
 
Wakubwa nimejichanga nimekamata Toyota issis,ninzurisana ndani napia safari ndefu iko pouwa,naomba kujuzwa,changamotozake nizipi?
 
Wakubwa nimejichanga nimekamata Toyota issis,ninzurisana ndani napia safari ndefu iko pouwa,naomba kujuzwa,changamotozake nizipi?
Regular service ni muhimu ni hilo tu basi.
 
Wakubwa nimejichanga nimekamata Toyota issis,ninzurisana ndani napia safari ndefu iko pouwa,naomba kujuzwa,changamotozake nizipi?
Low ground clearnance (iko chini) kama haujainyanyua, especially ukibeba full capacity.
 
Wakuu nahitaji power window (kile kifaa kinacho fanya kazi ya kupandisha vioo vya milango, kilichopo kwenye mlango wa dereva). Gari ni noah old model. Kilichopo kimeungua.

Cc.. Mshana jr na wataalamu wengine.
 
Maduka ya Ilala zipo japo sijui kama upo dar
 
Habari wana jamii,Nina gari Honda crv,sasa tairi pancha, nafungua nuts ,nakuta katika kila tairi nuts moja ni master locker na master Locke yake imepotea,kama kuna mtu anayo naomba aniazime,au anipe njia mbadala,maana nashindwa kulitoa tairi,my number no 0717246284.Asanten
 
Duu pole sana...alternatively mwite fungi gas akate hizo nuts uweke za kawaida
 
Wakubwa hiyo taa ikiwaka shida ni nini? Ni kwenye Ist
Mkuu ukitembelea baadhi ya page za huu uzi watu wamefanya uchambuzi wa hizo taa na maana zake. Ila kulingana na rangi, blue na kijani hazina shida zikiwaka, orange sijui ile kama ya ABS na Tyre pressure maana yake kuna malfunction sehemu ila still unaezaendesha. Nyekundu ndio don't even move kama vile ya oil na check engine, mkanda etc.
Ndio maana ukiwasha gari linajifanyia self diagnosis kwa sekunde chache ambapo taa zote zinawaka na kama gari lipo vizuri zitazima ila kama kuna shida zipo ambazo zitaendelea kuwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…