Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #5,201
Maranyingi kinachoangaliwa ni chassis serial number ndio maana kabla ya gari kusajiliwa kinachoitambulisha ni chassis number... Lakini kujiridhisha zaidi nenda TRA investigation department kwa ufafanuzi zaidipHuu uzi ni mrefu sana inawezekana ninalotaka kuuliza limezungumuzwa kwenye uzi huu mniwie radhi ninataka kununua injini kwa ajili ya kagari kangu kutoka kwa wauzaji wa injini zilizotumika jee ni utaratibu gani unaotumika kubadili kadi ya gari na nitajuaje kama injini hiyo haitokani na gari la wizi au gari lisilolipiwa ushuru wakati likiingizwa nchini