mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,475
Jaribu kuangalia mafuta ya brek kama yako sawa mkuu iliwahi nitokea tatizo lilikua ni mafuta ya brek tatizo Hilo ni upande wa hiyo taa inayo wakaMsaada Nna Gari Noah hizi new model sio Vox bali ni Noah
Inawasha Taa ya ABS pamoja na ya Heand break
Nimejaribu bila Mafanikio
Mkuu leo hii ndio nimeifungua nimechomoa cylinder head na kugundua valvu 6 zimepinda tatizo ni Hilo tuuHiyo gharama ni complete ya 1.3 nahisi itakuwa, umeaambia na bwana LEGE nunua mswaki,nilivyoelewa ni engine isiyo na makandokando yake mfano.stering power, self,alternator n.k huko kanda ya ziwa ni maarufu kama half engine, nakushauri kanunue half engine ni almost 7.5 k.
Honda CrvMkuu hembu nyoosha maelezo basi yaliyo nyooka ni sawa na kumwambia dr naumwa.au najisikia vibaya.
Gari aina gani
Msaada Nna Gari Noah hizi new model sio Vox bali ni Noah
Inawasha Taa ya ABS pamoja na ya Heand break
Nimejaribu bila Mafanikio
Kutakuwa kuna sensor ya ABS Mbovu
mlipima na mashine au ilikuwaje mpaka mkagundua kuwa sensor ni mbovu na kama ishu ni kusahau kufunga nati inamaana ilichomoka na kukatika au ?.Sensors zote tumekagua ziko sawa na Chanzo ilikuwa ni kubadilisha bush mguu wa mbele fundi akasahau kii kaza nati ya sensor sasa nikatembea ka siku mbili ndo Taa zikawaka ila tukaibadilisha hio sensor lakin wapi
mlipima na mashine au ilikuwaje mpaka mkagundua kuwa sensor ni mbovu na kama ishu ni kusahau kufunga nati inamaana ilichomoka na kukatika au ?.
kama upo dar tutafutane naweza kukusaidia ishu hiyo ni ndogo sana
Kwa upande wangu sikubaliani na sikushauri ubadilishe labda unijibu swali langu hili.Mkuu Siko dar niko Mwanza ila Tulipima na Mashine Lkn Fundi alihangaika sana mwisho Akaiita ni Fault dume
Hitimisho likawa nibadilishe lile dude la ABS
LEGE nashukuru hadi sasa zile taa ABS, VSC na handbrake kwenye dashboard hazijawaka tena, maana wale jamaa walitaka ninunue ABS sensor bila sababu.Kwa upande wangu sikubaliani na sikushauri ubadilishe labda unijibu swali langu hili.
Hiyo fault code ina somaje? Baada ya kupima na mashine kama utaweza mwambie fundi au muulize fault code ilikuwa inasomaje? Ndio naweza kukupa ushauri mzuri.
Mkuu ushanunua hii spear ?Mkuu Siko dar niko Mwanza ila Tulipima na Mashine Lkn Fundi alihangaika sana mwisho Akaiita ni Fault dume
Hitimisho likawa nibadilishe lile dude la ABS
Mkuu ushanunua hii spear ?
Umeambiwa ni Bei gani hio spear?Bado Mkuu gari imepaki
Umeambiwa ni Bei gani hio spear?