Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Msaada Nna Gari Noah hizi new model sio Vox bali ni Noah
Inawasha Taa ya ABS pamoja na ya Heand break
Nimejaribu bila Mafanikio
 
Jaribu kuangalia mafuta ya brek kama yako sawa mkuu iliwahi nitokea tatizo lilikua ni mafuta ya brek tatizo Hilo ni upande wa hiyo taa inayo waka
 
Hiyo gharama ni complete ya 1.3 nahisi itakuwa, umeaambia na bwana LEGE nunua mswaki,nilivyoelewa ni engine isiyo na makandokando yake mfano.stering power, self,alternator n.k huko kanda ya ziwa ni maarufu kama half engine, nakushauri kanunue half engine ni almost 7.5 k.
Mkuu leo hii ndio nimeifungua nimechomoa cylinder head na kugundua valvu 6 zimepinda tatizo ni Hilo tuu
 
Nataka niagize Mercedes Benz G-wagon 0km, hebu mwenye uzoefu anipe taratibu za kufuata mpka hii ndinga iingie mikononi mwangu
 
Wadau naulizia kuhusu Suzuki grand vitara new model

Ubora wa gari
Ulaji wa mafuta
Upatikanaji wa spears hapa bongo
 
Kutakuwa kuna sensor ya ABS Mbovu

Sensors zote tumekagua ziko sawa na Chanzo ilikuwa ni kubadilisha bush mguu wa mbele fundi akasahau kii kaza nati ya sensor sasa nikatembea ka siku mbili ndo Taa zikawaka ila tukaibadilisha hio sensor lakin wapi
 
mlipima na mashine au ilikuwaje mpaka mkagundua kuwa sensor ni mbovu na kama ishu ni kusahau kufunga nati inamaana ilichomoka na kukatika au ?.

kama upo dar tutafutane naweza kukusaidia ishu hiyo ni ndogo sana
 
Mkuu Siko dar niko Mwanza ila Tulipima na Mashine Lkn Fundi alihangaika sana mwisho Akaiita ni Fault dume
Hitimisho likawa nibadilishe lile dude la ABS
bbd5bd2956081876bd6935389cea1058.jpg
 
Kwa upande wangu sikubaliani na sikushauri ubadilishe labda unijibu swali langu hili.

Hiyo fault code ina somaje? Baada ya kupima na mashine kama utaweza mwambie fundi au muulize fault code ilikuwa inasomaje? Ndio naweza kukupa ushauri mzuri.
 
LEGE nashukuru hadi sasa zile taa ABS, VSC na handbrake kwenye dashboard hazijawaka tena, maana wale jamaa walitaka ninunue ABS sensor bila sababu.

Hii wiki nitakutafuta tumalizie ule mlio.
 
Haina shida mkuu.tuombe uzima tuu
 
Back
Top Bottom