Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
Wakuu,
Nifahamisheni mapungufu ya VW Polo?
Hizi made in germany au import kutoka Dubai/Japan nini tofauti yake na Range Polo made in S.A?
c.c proNDO, OLESAIDIMU
rafiki yangu mmoja alikuwa nayo anadai consumption yake ya mafuta ipo juu kidogo tofauti na sedan za kijapan
Habari jamani !! Gari yangu ilipata ajari toyota vista ardeo station wagon
kioo cha nyuma kimepasuka ntakipata wapi nipo mbeya
Uku nimetafuta sijapata
Kuna options 2! 1. Ni kutafuta wauza vioo kama uko dar wana mafundi wao ambao ni wajuzi wa kutafuta kinachofanania na kufanya modification. 2.kama una Contact na Nairobi tafuta huko hutakosa
Zamaulid spare tyre hutumika wakati wa dharura! Na dharura haina ahadi hivyo nunua nyingine tafadhalini kwa jinsi gani naweza kuhifadhi spare tyre ya bajaji yangu...toka niinunue hii bajaji miaka 4 iliyopita sikuwahi kuitumia kabisa...juzi nimeamua kuiangalia...du imesha expire siku nyiiiiiingi!sasa najiuliza nikinunua nyingine nikaiweka si itaharibika tena...au ninyi wataalamu mnazitunzaje?
Niwie radhi ndugu nilijua leo sio weekend nitafanya hivyo kesho nikiwa ofisini tafadhali
sina namna nitanunua ila nisipopata dharura na yenyewe itaoza tena bila kutumika!!!!!!
mkuu mshana jr nimejaribu kuupitia huu uzi karibia wote lakini sijaona kuhusiana na Toyota SPACIO hizi new model. Mimi ninayo ina zaidi ya mwaka mmoja, nilinunua used ikiwa na odo km 54,000 nimeitumia karibia ya km 30,000 (japokuwa mtumiaji zaidi ni wife). kwa kipindi chote hicho haijanisumbua chochote, jana tuu nimetoka nayo Morogoro to Dodoma, gari ipo vizuri, consumption ni 13~14km kwa lita 1 hapo nimetembea speed ya 90~150kph.
Swali langu nataka kujua kuhusiana na uimara na ubora wake, na pia nimeziona SPACIO 4wd je hizi nazo ni nzuri?
Seriously Zamaulid nakushauri nunua jamaa yangu mmoja alikata comprehensive miaka 5 mfululizo na Hakuwahi kupata ajali akaona ni loss mwaka wa sita akakata third part! Hakumaliza mwezi tangu akate third part akapata ajali mbaya sana gari likawa almost total loss...!!!
sijui kama hii imeshaulizwa humu lkn nimetafuta sijaona, hivi ikiwaka taa ya ABS ninapoendesha gari inamaanisha nini wakuu?