Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

rafiki yangu mmoja alikuwa nayo anadai consumption yake ya mafuta ipo juu kidogo tofauti na sedan za kijapan
 
Habari jamani !! Gari yangu ilipata ajari toyota vista ardeo station wagon
kioo cha nyuma kimepasuka ntakipata wapi nipo mbeya
Uku nimetafuta sijapata
 
Wakuu,

Nifahamisheni mapungufu ya VW Polo?

Hizi made in germany au import kutoka Dubai/Japan nini tofauti yake na Range Polo made in S.A?

c.c proNDO, OLESAIDIMU

rafiki yangu mmoja alikuwa nayo anadai consumption yake ya mafuta ipo juu kidogo tofauti na sedan za kijapan

VW polo za Kisouth ndio nina uzoefu nazo ni nzuri ni ngumu na zinahimili misukosuko mingi japo hapa Tanzania si gari maarufu
 
Last edited by a moderator:
Habari jamani !! Gari yangu ilipata ajari toyota vista ardeo station wagon
kioo cha nyuma kimepasuka ntakipata wapi nipo mbeya
Uku nimetafuta sijapata

Kuna options 2! 1. Ni kutafuta wauza vioo kama uko dar wana mafundi wao ambao ni wajuzi wa kutafuta kinachofanania na kufanya modification. 2.kama una Contact na Nairobi tafuta huko hutakosa
 
Mshana jr jana uliniambia nikukumbushe leo kuhusu contact za nairobi kuhusu injini ya pajero 4D56, naomba unisaidie kama zipo karibu.
 
ni kwa jinsi gani naweza kuhifadhi spare tyre ya bajaji yangu...toka niinunue hii bajaji miaka 4 iliyopita sikuwahi kuitumia kabisa...juzi nimeamua kuiangalia...du imesha expire siku nyiiiiiingi!sasa najiuliza nikinunua nyingine nikaiweka si itaharibika tena...au ninyi wataalamu mnazitunzaje?
 
Niwie radhi ndugu nilijua leo sio weekend nitafanya hivyo kesho nikiwa ofisini tafadhali
 
ni kwa jinsi gani naweza kuhifadhi spare tyre ya bajaji yangu...toka niinunue hii bajaji miaka 4 iliyopita sikuwahi kuitumia kabisa...juzi nimeamua kuiangalia...du imesha expire siku nyiiiiiingi!sasa najiuliza nikinunua nyingine nikaiweka si itaharibika tena...au ninyi wataalamu mnazitunzaje?
Zamaulid spare tyre hutumika wakati wa dharura! Na dharura haina ahadi hivyo nunua nyingine tafadhali
 
Last edited by a moderator:
mkuu mshana jr nimejaribu kuupitia huu uzi karibia wote lakini sijaona kuhusiana na Toyota SPACIO hizi new model. Mimi ninayo ina zaidi ya mwaka mmoja, nilinunua used ikiwa na odo km 54,000 nimeitumia karibia ya km 30,000 (japokuwa mtumiaji zaidi ni wife). kwa kipindi chote hicho haijanisumbua chochote, jana tuu nimetoka nayo Morogoro to Dodoma, gari ipo vizuri, consumption ni 13~14km kwa lita 1 hapo nimetembea speed ya 90~150kph.
Swali langu nataka kujua kuhusiana na uimara na ubora wake, na pia nimeziona SPACIO 4wd je hizi nazo ni nzuri?
 
sina namna nitanunua ila nisipopata dharura na yenyewe itaoza tena bila kutumika!!!!!!

Seriously Zamaulid nakushauri nunua jamaa yangu mmoja alikata comprehensive miaka 5 mfululizo na Hakuwahi kupata ajali akaona ni loss mwaka wa sita akakata third part! Hakumaliza mwezi tangu akate third part akapata ajali mbaya sana gari likawa almost total loss...!!!
 
Last edited by a moderator:
sijui kama hii imeshaulizwa humu lkn nimetafuta sijaona, hivi ikiwaka taa ya ABS ninapoendesha gari inamaanisha nini wakuu?
 
mkuu mshana jr nimejaribu kuupitia huu uzi karibia wote lakini sijaona kuhusiana na Toyota SPACIO hizi new model. Mimi ninayo ina zaidi ya mwaka mmoja, nilinunua used ikiwa na odo km 54,000 nimeitumia karibia ya km 30,000 (japokuwa mtumiaji zaidi ni wife). kwa kipindi chote hicho haijanisumbua chochote, jana tuu nimetoka nayo Morogoro to Dodoma, gari ipo vizuri, consumption ni 13~14km kwa lita 1 hapo nimetembea speed ya 90~150kph.
Swali langu nataka kujua kuhusiana na uimara na ubora wake, na pia nimeziona SPACIO 4wd je hizi nazo ni nzuri?

Haya mambo kwakweli wakati mwingine ni utunzaji tuu! Na kama ulivyosema mtumiaji mkuu ni wife, kwakweli wanawake wengi ni watunzaji wazuri wa magari japo kuna mambo huwa si wajuzi

Lakini kwa ufupi Spacio sio gari zinazohimili mikikimikiki ni generation ya handle with care! Kwa mfano kwa sasa old model zipo chache sana barabarani
 
Seriously Zamaulid nakushauri nunua jamaa yangu mmoja alikata comprehensive miaka 5 mfululizo na Hakuwahi kupata ajali akaona ni loss mwaka wa sita akakata third part! Hakumaliza mwezi tangu akate third part akapata ajali mbaya sana gari likawa almost total loss...!!!

mkuu mshana nimeuliza swali hapo juu kuhusiana na Toyota SPACIO, msaada plz
 
Last edited by a moderator:
Kuna shida kwenye mfumo wa break

1427643366288.jpgABS warning light
 
sijui kama hii imeshaulizwa humu lkn nimetafuta sijaona, hivi ikiwaka taa ya ABS ninapoendesha gari inamaanisha nini wakuu?

ABS (automatic breaking system), hii maana yake ni kwamba unapofunga break inabidi tyre zote zifunge break proportional kuepuka gari kupinduka, ukiona imewaka basi kuna matatizo. ni vizuri umpelekee fundi kwa uchunguzi zaidi.
 
Back
Top Bottom