specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 618
Mkuu kwa hapo umejilipua haswa na ukute una hela za mawazo ndo utajuta ISUZU ni brand ya kifa.la
Mama mdogo naomba picha ya ferozaNakushauri usubiri mwezi August, September na Oktoba 2015 uwakodishie chama chochote cha siasa wapate gari la kupigia kampeni. wanasiasa wakizidiwa mambo wanakuwaga vipofu wala hawatahisi hizo gharama. Fedha utakayopata nenda kanunue Feroza, Harrier, Rav 4, Klugger, Suzuki grand Vitara au Prado kwa raha zako!!!
Wadau hivi karibuni nimenunua ISUZU BIG HORN SUV ya mwaka 1998 imetembea 280,000 kms daah sasa nimeanza kutembelea inakula mafuta kama JINI MAHABA ya 1 ltr = 3kms yaani pamoja na kufungua vioo na kuweka FREE mara kibao imekuwa hatari. Najutaa kununua huu mgari na hela ya mkopo jamaa wa NMB ndo wameanza kukata mwezi huu
.Usifanye kosa kama langu mdau
Nenda microfinance/SACCOS yoyote uiweke kama Dhamana wape na kadi original, chukua mkopo wa maana halafu tokomea jumla ubadilishe na simu, wao ndo watalipiga mnada wapate hela yao. DEAL CLOSED.
Mkuu Nenda Toyota watafute wale mafundi wapo vizuri sana kwenye hizo Cruiser unaongea nao watakufanyia kwenye karakana zao,ukishindwa Nenda keko garage pia wanazielewa vizuri sana cruiser
Mkuu Lusungo tofauti na hawa Toyota je naweza Pata wapi at least fundi mzuri wa kunitengenezea hiyo gari, nilichomwelewa mkuu N'yadikwa ni kuwa gari haitengenezwi chini ya mwamvuri wa Toyota bali ninakubaliana na fundi wa Toyota then kazi hiyo inafanyika kwenye gereji/eneo nje ya Toyota lakini na wataalam hao hao wa Toyota ,
Asante wakuu
Mkuu mimi hata ukinipa 4m nakuachia gari maana sitaki hata kuliona, maana limeshakula kama 6m kwa matengenezo yasioeleweka. Kun wakati nilitaka nikalikate niuze SPEA tu
Zipo nyingi tu pale dt dobieSpea zake zinapatikana kwa urahisi? Na bei ya spea ikoje?
Habari wana Jf, naomba ushauri kwa watalaamu wa magari, nataka kununua Nissani X-tail, vipi kuhusu ubora wake na kwa matumizi ya TZ hasa kanda ya kati ambako barabra si nzuri sana.