Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

NINI MAANA YA ALAMA HIZI KWENYE GEAR!?

P - parking
R - reverse
N - neutral
D, D1,D2- drive
D- normal drive
D1- inatumika kwenye na tifutifu na mwinuko hii mara nyingi inaenda na E-PWR- extra power, kwahiyo unapo engage D1, ni vema uka engage na E-power, mara nyingi button inakuwa kwenye dashboard! Hapa gari inakuwa nzito lakini yenye nguvu sana na mwendo unakuwa mdogo
D2 pia inaenda na E-PWR button na hii inatumika kwenye utelezi zaidi

O/D - over drive, button yake iko kwenye gearleaver, tumia O/D Mara nyingi kwenye speed isiyozidi km 80 kwa SAA
Hakuna hatari ya kuengage na ku disegage O/D kwenye mwendo mdogo lakini ni hatari mno kwenye mwendo mkubwa, ukifanya hivyo hasa kutoa O/D kwenye mwendo mkubwa gari itakuwa nyepesi ghafla hivyo kusababisha kuyumba kupoteza mwelekeo na hatimaye ajali

NB: Alama hizi zaweza kubadilika kidogo kulingana na model ya gari na usasa
hongera mshana jr kwa uzi...mara nyingi najua wewe mtu wa picha...
tafadhar nieleweshe kuhusu hizi gia za subaru forester...tofauti na D...kuna 1,2,3...Zinatumikaje mkuu?
ni ya rafiki yangu kaniuliza nami nimekosa jibu la uhakika.
 
HAKI ZA DEREVA ANAPOKAMATWA NA TRAFFIC
- Trafiki hana idhini ya kukulazimisha kumkabidhi leseni yako
-Akikukuta na kosa na kukuandikia notification na ukalipa ni lazima akupe risiti ya serikali
-Hana haki ya kukuulizia kuhusu road licence hiyo ni kazi ya TRA kwakuwa siku utakapoenda kulipa utalipia na faini
-kama huna leseni una haki kisheria kuipeleka kituoni ndani ya Massa 72 ya kazi tangu ulipotakiwa kufanya hivyo
-Akikusimamisha una haki ya kusimama sehemu ile ambayo utaona ni salama na si lazima usimame anapotaka yeye
- Sio kila kosa ni la kuadhibiwa, mengine ya kuonywa au kuelimishwa

Kwa mfano makosa gani ni ya kuonywa na kuelimishwa?
 
[h=2]This car is not that bad, if you are looking to buy a vehicle that’s easy to park and drive aroud the city. However, you have to consider several things, first of which is safety. Yes, the car has enough airbags, but “safety” is not just about airbags. There are things like stability, weight, sturdiness. This little thing is fragile! It is not good enough for highway and long rides in general. Acceleration is bad, so passing other cars will only cause unnecessary stress. And it is noisy, especially while trying to accelerate. The interior has way too much plastic, although it’s not as bad as in some other cars. Scion IQ is only a good choice if you plan to drive it around the city. Otherwise, you can buy a better and sturdier car for the same money.
Scion IQ[/h]
scion-iq-680x450.jpg

[h=2]Smart fortwo[/h]
smart-for-two-680x450.jpg

Nedless to say, this is not a car for long rides. It can be very unstable, which makes it unsafe for the highway rides. It doesn’t have enough power to quickly pass other cars. In fact, this car has the least power of all cars. Most owners are not happy with the fuel consumption. For some, driving Smart fortwo is convenient because it is so tiny and easy to park. But is it worth the money? No, not really.[h=2]auxall (Opel) Adam[/h]

This tiny car might look cute, but that’s all there is to it. It is incredibly slow, that is the first annoying thing about it. It doesn’t
deliver much torque and power, so you won’t enjoy the ride too much. They did a good job making it attractive on the inside, but wait! Don’t fall for the ‘starry sky’. It reflects on the rear mirror and it will annoy the hell out of you as soon as it gets dark outside. And this is not something you can fix. We are wondering why they did it and why they still haven’t fixed it. Another

[h=2]Chevrolet Spark[/h]

Photo: M93 This small car might look economic and you might think of it as a good choice, but think twice before you decide to spend money on it. All right, we can see it’s not a looker, and it’s certainly not a comfy family car. But that is not the bad part. What will really annoy you is the noisy engine and overall bad quality of materials. Not too safe and not good for long rides. Hard to resell later, you will lose a lot of money.

[h=2]Dacia Duster[/h]

When you take a look at it, you think „Well, it looks quite good“. It does. Dacia surprised everyone when they made this car. It does seem like a serious SUV. But, wait! Here are some downsides you should know about before you buy a Duster. First of all, the AC will drive you nuts, especially the rear unit vent… and there’s no climate control. The next thing is too much plastic everywhere – inside and out. Not only does it look bad, but it makes you feel like you will damage something only by scratching it a bit. You will also hate the hard clutch. And the poor sensors. Its stability is questionable. All in all, it looks like an SUV, but it’s a poor man SUV
[h=1]10 Cars You Should Avoid Buying[/h] Cars, Opinion 257 Comments
[h=2]Hyundai i10[/h]

If this is all you can afford, and you really want it – that’s OK, but be prepared for the downsides. First, don’t expect too much comfort. It seems that other owners are not happy with the fuel consumpion, they find the steering quite hard, and all in all – they wouldn’t describe this car as reliable. Therefore, not a car for long rides. Also, if you ever want to resell it, be prepared to cry. You will get very little money for it.

[h=2]Dodge Grand Caravan[/h]

If you compare it to some other minivans wih a similar price, you will probably see that it is not that great. Tall owners are complaining that they don’t have enough room for their legs, and that there is also a lack of space for those riding in the back. Some also say that driving on bumpy roads is extremely annoying. For the same money, you can buy something better.

[h=2]Mitsubishi Mirage[/h]

51
Photo: Delta 51 You might be attracted to a cheap car with the word ‘Mitsubishi’ on it, but don’t rush into it. This is not a great car for the road. It has issues with acceleration and passing other cars. Too much plastic inside the car makes it look even cheaper. There is not much space for those riding in the back, and that is another reason why it is not good for long rides. All in all, it is not the worst car, but you can buy something better for the same money.

[h=2]Mini Countryman[/h]

When you look at it, it doesn’t look bad. It is not terrible, but it is not the best car you can get at that price. First, there is an issue with the automatic transmission: people who have tested this car say that the automatic transmission is very slow (manual transmission doesn’t have this problem, though). The cargo capacity is not very impressive (although there is enough space for the passengers). Again, not the worst car, but most people who drove this car said they would probably be happier with something like Honda CR-V or even the old HR-V.

[h=2]Volkswagen Beetle[/h]

Volkswagen Beetle is not the worst car in its class, but you can buy a better one at the same or similar price. The first limitation is that it is not a car for long rides. It could be good enough for you if you don’t travel much or you just plan to drive it around the city. The manual transmission is more responsive than the automatic transmission, and therefore a better option. If you are a Beetle fan and like the old classic style (that reminds you of the old Beetle), then you might be happy with this one. If you’re not, you should consider other cars in the same price range.
 
hongera mshana jr kwa uzi...mara nyingi najua wewe mtu wa picha...
tafadhar nieleweshe kuhusu hizi gia za subaru forester...tofauti na D...kuna 1,2,3...Zinatumikaje mkuu?
ni ya rafiki yangu kaniuliza nami nimekosa jibu la uhakika.

Asante ngoja niitafute hiyo Subaru kwanza ili niweze kuja na majibu sahihi zaidi
 
Kwa mfano kosa la kutofunga mkanda wa usalama halina madhara kwa wengine bali ni kwa usalama wako kwahiyo kinachotakiwa ni elimu na kuonywa
 
jamani nani ana ufahamu kuhusu Isuzu Bighorn 3.1 diesel? ama Land lover discovery td5 es 2.5 diesel zote auto, ni hipi nzuri kununua kati ya hizo? tafadhali msada
 
jamani nani ana ufahamu kuhusu Isuzu Bighorn 3.1 diesel? ama Land lover discovery td5 es 2.5 diesel zote auto, ni hipi nzuri kununua kati ya hizo? tafadhali msada

Kwa ushauri wangu binafsi ni afadhali landrover kuliko Big horn
 
Kwa ushauri wangu binafsi ni afadhali landrover kuliko Big horn

asante mkuu mshana jr , sijui unaweza dadavua kidogo kivipi land rover ni afadhali kuliko bighorn? na nzuri hipi manual ama auto ? asante mkuu
 
asante mkuu mshana jr , sijui unaweza dadavua kidogo kivipi land rover ni afadhali kuliko bighorn? na nzuri hipi manual ama auto ? asante mkuu
Mfikilwa big horn ni magari nyanya mno na likichakaa linachukiza mno, landrover japo spare zake ni ghali lakini ni gari ya uhakika zaidi
Tunaondoka kwenye kizazi cha manual hivyo chukka tu auto na uzi gate service
 
Last edited by a moderator:
Wadau nataka kununua gari kati ya toyota harrier na toyota klugger zote~ the same engine vvti cc 2390~ za kuanzia mwaka 2004 naombeni ushauri wa kitaalam,ninunue gari gani na kwa sababu zipi,asanteni viongozi
 
Harrier nyingi zina ugonjwa wa gearbox usipo kuwa makini na service, Klugger nazo nyingi ninazofahamu zina engine za D-4, ambazo ni pasua! Hebu tuone wadau wengine watasemaje
 
Jamani nataka kuagiza Altezza sasa nataka ya 4c siyo ya 6c nazitofautishaje na je ipi ni nzuri ya 4c au ya 6c maana nasikia ya 6c ni balaa inakata wese vibaya
 
mkuu nami naomba ushauri nahitaji kununua landcruiser LX sasa nimeingia kwenye mtandao ili niagize nikakutana na za petroli zote ambazo ni mpya yaan km0 halafu manual ila mi nilitaka ya diesel na outo, sasa naomba ushauri hiyo ya petrol itakuwa nzuri kwa matumizi ya hapa kwetu?
 
Wadau nataka kununua gari kati ya toyota harrier na toyota klugger zote~ the same engine vvti cc 2390~ za kuanzia mwaka 2004 naombeni ushauri wa kitaalam,ninunue gari gani na kwa sababu zipi,asanteni viongozi

Chukua Klugger sababu Nimekariri kua Harrier ni Jini Mnywa Mafuta, sijui sababu!!
 
Jamani nataka kuagiza Altezza sasa nataka ya 4c siyo ya 6c nazitofautishaje na je ipi ni nzuri ya 4c au ya 6c maana nasikia ya 6c ni balaa inakata wese vibaya
kiipwi cha ngoghwe sidhani kama zipo Altezza 4S na kama zipo ulaji wake waweza uwe hautofautiani sana na 6S
ANGALIZO:
Unaweza ukawa na gari 6S na ikatumia mafuta vizuri zaidi kuliko mwenye 4S! Hii ni kutokana na uendeshaji, kwa mfano unatoka shekilango kuelekea mjini unajua kabisa ukifika big brother lazima upunguze mwendo lakini mtu anaivuta mpaka spidi 80 halafu akifika big anapunguza mpaka spidi 30 then anavuta tena akifika tiptop anapunguza tena huo ni uharibifu was mafuta, kwa jinsi hiyo utakuwa unapoteza mafuta mengi bila sababu

Vilevile hata safari ndefu ongeza mafuta taratibu na jitahidi kucontrol spidi yani kama una hakika kipande fulani hakina kupunguza mwendo ongeza mwendo taratibu mpaka spidi uitakayo kisha nenda nayo hiyo mpaka utakapotaka kupunguza punguza taratibu pia

Ukiwa mtu wa kupanda na kushuka yani mara umevuta toka spidi 80 mpaka 120 mara ukashuka ghafla mpaka 70 kisha mara ukavuta tena mpaka 120, 30, 40 nk kisha ukashuka ghafla utaisoma

Mwisho uendeshaji wa mjini ni ghali mno kwa mafuta kwakuwa break ni kila dakika
 
Last edited by a moderator:
Jamani nataka kuagiza Altezza sasa nataka ya 4c siyo ya 6c nazitofautishaje na je ipi ni nzuri ya 4c au ya 6c maana nasikia ya 6c ni balaa inakata wese vibaya
kiipwi cha ngoghwe sidhani kama zipo Altezza 4S na kama zipo ulaji wake waweza uwe hautofautiani sana na 6S
ANGALIZO:
Unaweza ukawa na gari 6S na ikatumia mafuta vizuri zaidi kuliko mwenye 4S! Hii ni kutokana na uendeshaji, kwa mfano unatoka shekilango kuelekea mjini unajua kabisa ukifika big brother lazima upunguze mwendo lakini mtu anaivuta mpaka spidi 80 halafu akifika big anapunguza mpaka spidi 30 then anavuta tena akifika tiptop anapunguza tena huo ni uharibifu was mafuta, kwa jinsi hiyo utakuwa unapoteza mafuta mengi bila sababu

Vilevile hata safari ndefu ongeza mafuta taratibu na jitahidi kucontrol spidi yani kama una hakika kipande fulani hakina kupunguza mwendo ongeza mwendo taratibu mpaka spidi uitakayo kisha nenda nayo hiyo mpaka utakapotaka kupunguza punguza taratibu pia

Ukiwa mtu wa kupanda na kushuka yani mara umevuta toka spidi 80 mpaka 120 mara ukashuka ghafla mpaka 70 kisha mara ukavuta tena mpaka 120, 30, 40 nk kisha ukashuka ghafla utaisoma

Mwisho uendeshaji wa mjini ni ghali mno kwa mafuta kwakuwa break ni kila dakika
 
Last edited by a moderator:
mkuu nami naomba ushauri nahitaji kununua landcruiser LX sasa nimeingia kwenye mtandao ili niagize nikakutana na za petroli zote ambazo ni mpya yaan km0 halafu manual ila mi nilitaka ya diesel na outo, sasa naomba ushauri hiyo ya petrol itakuwa nzuri kwa matumizi ya hapa kwetu?

Pata petrol auto, ni rahisi kwa maintenance, VX za gear huja kusumbua baadae kwenye syncroniser za gear japo bado gari zote ni nzuri inategemeana tu na utunzaji kufuata taratibu za matumizi, uangalizi na service kwa muda sahihi na kutumia vitu genuine
 
Vilevile mamseri kuwa makini sana na kuagiza gari mtandaoni wameumizwa wengi sana kwa njia hii
Kinachotokea ni hiki kuna watu hapo Japan Hongkong China Dubai na kwingineko wamehack emails za ma dealers wakubwa wa magari wanaoaminiwa na wana accounts nyingi tu za kimagumashi

Wao kazi yao ni kufuatilia maelfu ya emails kila siku za wale madealer, kuanzia kuchagua gari mapatano mpaka kutuma kianzio ambacho mara nyingi ni 20-50%

Sasa inapofika wakati wa kutuma pesa wao huingilia mawasoliano na kudivert kwao na kukupa sababu anuwai kwa mabadiliko ya ghafla ya account na kukuomba utume kwenye account hiyo mpya

Ukiingia kingi ukatuma utaendelea kuwasiliana nao huku wakiendelea kutoa vidingizio kibao mpaka siku unayochoka na kuamua kupiga simu kwa dealer wako! Ndo hapo unapokuja kugundua kama ushaingizwa cha shoga which by then its too late
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom