Mkuu Passo sio ya kuibeza, me yangu mkoani nilikuwa natembea na kati ya 120 na 140 kph sehemu zinazoruhusu. So ni speed kubwa ambayo mabasi machache sana yanatembelea.
So jamaa anaweza kuwa sahihi though me yangu ni ile ya 1290cc
Sasa m nataka kununua Harrier au Mitsubishi Pajero je ni ipi iko vema ktk mambo ya utunzaji, gharama za vipuri na uendeshaji wake kwa ujumla

Hiyo inawezekana kabisa mkuu, ingawa sidhani kama ni afya sana kutembelea speed kubwa kama hiyo kwa gari zenye engine ndogo kama hiyo
Naomba niwe mkweli katika hili uimara wa gari sio speed tu
Sasa m nataka kununua Harrier au Mitsubishi Pajero je ni ipi iko vema ktk mambo ya utunzaji, gharama za vipuri na uendeshaji wake kwa ujumla
Asanteni kwa mjadara huu,naomba mnisaidie jambo hili tafadharini.Kuna faida gani ya kuagiza gari toka nje ya nchi na kununua gari ilo ilo kwa mawakala waliopo hapa nchini? Nategemea majibu yenye kujenga.
Harrier zina tatizo sugu la gearbox lubajaro
At least that one kwa uzoefu wangu lakini
Asanteni kwa mjadara huu,naomba mnisaidie jambo hili tafadharini.Kuna faida gani ya kuagiza gari toka nje ya nchi na kununua gari ilo ilo kwa mawakala waliopo hapa nchini? Nategemea majibu yenye kujenga.
Ndugu Entim huduma kwenye gari zipo anuwai, kuna ishu ya vipuri service, usafi, ulinzi, bima, kodi mbalimbali nk usiangalie kigezo tu cha mafuta itakugharimu
Sasa m nataka kununua Harrier au Mitsubishi Pajero je ni ipi iko vema ktk mambo ya utunzaji, gharama za vipuri na uendeshaji wake kwa ujumla
wakuu naomben mnisaidie,carina yangu nikikanyaga breki mguu unakuwa kama vile umezuiwa na kitu,halafu breki inakuwa haina nguvu na ile taa ya abs haiwaki mara inawaka ,munisaidie kijana mwenzenu ,pia kuna mtu yuataka kuniuzia cresta sasa mwenye uzoefu na cresta jaman anishauri