Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mkuu Passo sio ya kuibeza, me yangu mkoani nilikuwa natembea na kati ya 120 na 140 kph sehemu zinazoruhusu. So ni speed kubwa ambayo mabasi machache sana yanatembelea.
So jamaa anaweza kuwa sahihi though me yangu ni ile ya 1290cc

Hiyo inawezekana kabisa mkuu, ingawa sidhani kama ni afya sana kutembelea speed kubwa kama hiyo kwa gari zenye engine ndogo kama hiyo
 
Sasa m nataka kununua Harrier au Mitsubishi Pajero je ni ipi iko vema ktk mambo ya utunzaji, gharama za vipuri na uendeshaji wake kwa ujumla

Naomba niwe mkweli katika hili uimara wa gari sio speed tu
 
Asanteni kwa mjadara huu,naomba mnisaidie jambo hili tafadharini.Kuna faida gani ya kuagiza gari toka nje ya nchi na kununua gari ilo ilo kwa mawakala waliopo hapa nchini? Nategemea majibu yenye kujenga.
 
Kikubwa ni gharama utaokoa pesa nyingi kama ukiagiza mwenyewe
 
Asanteni kwa mjadara huu,naomba mnisaidie jambo hili tafadharini.Kuna faida gani ya kuagiza gari toka nje ya nchi na kununua gari ilo ilo kwa mawakala waliopo hapa nchini? Nategemea majibu yenye kujenga.

Mawakala wa Bongo wana mtindo wa kukubadilishia vifaa ktk gari, na pili kama hilo gari liliingia mwaka 2005, utatakiwa kuilipia road lisence from that year mpaka ule mwaka wa mwisho wa wewe kuinunua...
 
Ndugu Entim huduma kwenye gari zipo anuwai, kuna ishu ya vipuri service, usafi, ulinzi, bima, kodi mbalimbali nk usiangalie kigezo tu cha mafuta itakugharimu

Mkuu mshana jr ile gari uliyonitumia na midolali ilivyopanda nguvu zliniishia!.. But i prefer that car
 
Last edited by a moderator:
Sasa m nataka kununua Harrier au Mitsubishi Pajero je ni ipi iko vema ktk mambo ya utunzaji, gharama za vipuri na uendeshaji wake kwa ujumla

Hebu pia Kluger V 2.4 four iweke mawazoni mwako endapo umefikiria hayo ma SUV...jamaa zangu wawili wa karibu wana hizo gari kitambo sijaona homa yoyote
 
wakuu naomben mnisaidie,carina yangu nikikanyaga breki mguu unakuwa kama vile umezuiwa na kitu,halafu breki inakuwa haina nguvu na ile taa ya abs haiwaki mara inawaka ,munisaidie kijana mwenzenu ,pia kuna mtu yuataka kuniuzia cresta sasa mwenye uzoefu na cresta jaman anishauri
 
Magari yenye matatizo huwa wanatangaza yanarudishwa kiwandani au kwa dealers hili yarekebishwe.....lakini gari matunzo tu na litakutunza
 
wakuu naomben mnisaidie,carina yangu nikikanyaga breki mguu unakuwa kama vile umezuiwa na kitu,halafu breki inakuwa haina nguvu na ile taa ya abs haiwaki mara inawaka ,munisaidie kijana mwenzenu ,pia kuna mtu yuataka kuniuzia cresta sasa mwenye uzoefu na cresta jaman anishauri

Hiyo tayari break system ina shida onana na fundi, Cresta hasa GX 100, ni gari zuri na gumu
 
Back
Top Bottom