Mkuu Passo sio ya kuibeza, me yangu mkoani nilikuwa natembea na kati ya 120 na 140 kph sehemu zinazoruhusu. So ni speed kubwa ambayo mabasi machache sana yanatembelea.
So jamaa anaweza kuwa sahihi though me yangu ni ile ya 1290cc
Hiyo inawezekana kabisa mkuu, ingawa sidhani kama ni afya sana kutembelea speed kubwa kama hiyo kwa gari zenye engine ndogo kama hiyo