moondampwani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 535
- 169
Vp kuhusu RAV4 YA 2009 10 TSH NI HALALI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau kuna hii gari inaitwa Toyota probox van nimeipenda the way ilivyo naomba wanaoijua wanipe uzoefu kuhusu consumption ya mafuta na uimara wake kwa ujumla. Karibu
Wadau kuna hii gari inaitwa Toyota probox van nimeipenda the way ilivyo naomba wanaoijua wanipe uzoefu kuhusu consumption ya mafuta na uimara wake kwa ujumla. Karibu
Vp kuhusu RAV4 YA 2009 10 TSH NI HALALI
Gari nzuri sana kwa ugumu na uimara fuel consumption pia ni mzuri
Mkuu Mshana, tafadhali naomba saidia hawa wadau wa JF kuwaunga ktk group la whatsApp, wanapata shida jinsi ya kukutumia ujumbe through hii mada maalum ya magari na wakanituma ujumbe kwangu. Numbers:- 0754-835309; 0766-026849 na 0714-079636
Asante kwa msaada wako
Ahsante Mkuu, vipi kuhusu fuel consumption inaenda km ngapi kwa Lita kama unajua.Ni gari nzuri na ngumu sana, kwa tanzania haijapendwa sana ila kenya ni gari inayotumika sana. Inatumia engine ya 1nz ambayo inatumika kwenye toyota tofauti 15 kama corolla, sienta,allex, fan cargo n.k
Gari nzuri sana kwa ugumu na uimara fuel consumption pia ni mzuri
Mkuu mweleze gari za juu kwenye safari hazifai maana kwenye kona huwa lazima upunguze mwendo lakini kama gx 110 na mark x au crown unalala nayo tu !
harrier iko juu sana mkuu?