Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wadau kuna hii gari inaitwa Toyota probox van nimeipenda the way ilivyo naomba wanaoijua wanipe uzoefu kuhusu consumption ya mafuta na uimara wake kwa ujumla. Karibu

Gari nzuri sana kwa ugumu na uimara fuel consumption pia ni mzuri
 
Ni gari nzuri na ngumu sana, kwa tanzania haijapendwa sana ila kenya ni gari inayotumika sana. Inatumia engine ya 1nz ambayo inatumika kwenye toyota tofauti 15 kama corolla, sienta,allex, fan cargo n.k
 
Mkuu Mshana, tafadhali naomba saidia hawa wadau wa JF kuwaunga ktk group la whatsApp, wanapata shida jinsi ya kukutumia ujumbe through hii mada maalum ya magari na wakanituma ujumbe kwangu. Numbers:- 0754-835309; 0766-026849 na 0714-079636

Asante kwa msaada wako
 
Tayari ila hiyo ya tigo bado naona wako slow kidogo
 
Ni gari nzuri na ngumu sana, kwa tanzania haijapendwa sana ila kenya ni gari inayotumika sana. Inatumia engine ya 1nz ambayo inatumika kwenye toyota tofauti 15 kama corolla, sienta,allex, fan cargo n.k
Ahsante Mkuu, vipi kuhusu fuel consumption inaenda km ngapi kwa Lita kama unajua.
 
jaman gar za chin kama mark 2 sizifurahii kabisa.....za juu kianzia harrier zinakaa poa sana lkn isije kuwa ndefu tena kama prado.....

harrier imenivutia sana....kuna mwenye details zake.?
 
Mkuu mweleze gari za juu kwenye safari hazifai maana kwenye kona huwa lazima upunguze mwendo lakini kama gx 110 na mark x au crown unalala nayo tu !

harrier iko juu sana mkuu?
 
Back
Top Bottom