Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Changamoto yake kubwa ni vile kanaitwa ka babywalker lakini mengine yote kako vizuri mno kuanzia ulaji wa mafuta ubora wa engine na gearbox, uimara wa body, speed na upatikanaji wa vipuri.... Kachukue kama bado hutajutia

A.k.a.ka Mr Bean.........
 
Unajua hizo ni sports cars na mafundi wetu wengi wana ufundi wa mazoea kwa mfano ishu ya exhaust na huo mngurumo inaanzia kwenye systems za aircleaner na air compression toka kwenye engine

Jamaa hataki amsha popo.......?......mbona ndio habare ya mujini...........ailete chamani tufukuzane kwenye mbuga za masaini huko............
 
Kwenye stering ukimaanisha miguu ya mbele.....?.....hebu cheki mambo haya......

stabilizer bush.......
stabilizer link.....
booty rubber.........
rack hand.........
kama haya yote umepitia.......sema......tuendelee na maelezo..........

Achekinpia wheel balance na alignment
 
0766147457 naomba mniunge kwenye group

Naomba radhi Sana kupitia post hii kwa wale wote walioomba niwa add kwenye group na kushindwa kufanya hivyo kwa sababu ya simu ninayotumia kuleta Shida kwenye app ya whatsapp ina naomba pia kupitia post hii Angelo anisaidie tafadhali
 
habari za asubuhi mkuu Mshana..wik imepita sasa cjaungwa kwa grup naomba mniunge jmn 0658 542409
 
Last edited by a moderator:
Habarini za wakati wadau. Samahani naomba mwenye kujua bei ya turbo ya land rover defender anisaidie. Na je kuna madhara yoyote kwenye engine kama ukiiondoa turbo?
 
Ikiondolewa kwa umakini haina shida... Bei kwakweli sijui
 
Wana jf naomba msaada nitapata wapi duka gani ktk jiji la daresalam spears za gari langu aina ya estima emina ( toyota)-. Gari pichani ImageUploadedByJamiiForums1441857732.175053.jpg
Naongerea spear kwa ujumla za hii gari nitapata wapi nikiwa jijini daresalaam
 
Naomba uwe specific,kwani magari mengi ya toyota yana share vitu vingi sana. Ungekuwa muwazi kama Unahitaji body parts engine parts n.k
 
Habari zenu wadau...
Jukwaa hili limenifunza mambo mengi sana...
Naomba kuuliza kwa uzoefu wa mazingira yetu ya tz...ni gari ya aina gani unamshauri mtu anunue, ndogo...ya matumizi ya kawaida ya familia...inayodumu na inayotumia mafuta ya wastani...ambayo mtu anawezasafiri nayo maeneo yenye barabara mbovu?
 
Nunua toyota carina T.I
 
Kwanza nakushauri ujue preference zako unapenda gari ya muundo gani, mfano sedan(mikoani wanaita tax), hatchback n.k ndipo tukushauri kufuatana na mapendekezo yako
 
Habari zenu wadau...
Jukwaa hili limenifunza mambo mengi sana...
Naomba kuuliza kwa uzoefu wa mazingira yetu ya tz...ni gari ya aina gani unamshauri mtu anunue, ndogo...ya matumizi ya kawaida ya familia...inayodumu na inayotumia mafuta ya wastani...ambayo mtu anawezasafiri nayo maeneo yenye barabara mbovu?

Toyota duet, Daihatsu na terois kid
 
Back
Top Bottom