Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Reference Number1516106719
Make:TOYOTA
Model:VITZ
Body Type:HATCHBACK
Year of Manufacture:2006
Fuel Type:PETROL
Engine Capacity:1001 - 2000 CC
Customs Value CIF (USD):2748.08
Import Duty (USD):687.02
Excise Duty (USD):171.75
Excise Duty due to Age (USD):515.26
VAT (USD):741.98
Total Taxes (USD):2116
Total Taxes (TSHS):4587488

Mkuu, unaweza nisaidia formula ya kukokotoa hii value
 
naomba ushauri wakuu, jinsi ya kuinyanyua Toyota porte yangu niweze pita barabara zetu hizi zenye mashimo
 
naomba ushauri wakuu, jinsi ya kuinyanyua Toyota porte yangu niweze pita barabara zetu hizi zenye mashimo

Mkuu pole, gari hiyo haitaki shurba, mara nyingi ukiinyanyau utaleta matatizo zaidi, muhimu jipange upate gari inayoendana na hali ya bara bara mbovu,
 
Hi guys,
Engine ipi ni imara zaidi kwa magari madogo kati ya 3S na VVTi za Toyota?
 
Hi guys,
Engine ipi ni imara zaidi kwa magari madogo kati ya 3S na VVTi za Toyota?

Japo huja specify lakini zote ziko biyee ila vvt-i zina advantage ya kutumia mafuta kidogo kutokana na mfumo wake
 
Hi guys,
Engine ipi ni imara zaidi kwa magari madogo kati ya 3S na VVTi za Toyota?

Mkuu kwanza hakuna engine aina ya VVTi.....hiyo ni teknolojia ya kuregulate uingizaji wa nafuta kwen engine kupitia valves...variable valve timing with intelligence. Engine nyingi za siku hizi zina hiyo technology. Aina ni kama izo 3s 4s 5s Ig IG FE nk. Suala la ipi imara inategemea na aina ya gari na matumizi. Uimara au kudumu kwake inategema na matunzo yako tu.
 
Nauliza kwa mwenye ufahamu gari aina ya Nissan e-trail matumizi sahii ya button ya 2WD unapoibonyeza gari itaendelea kuwa kwenye hiyo mode hata kama utasimama kwa muda na kushift toka D mpaka N au P na kurudi tena D ili uendelee na safari yako?
 
2WD ni mbadala wa 4WD, na Kama gari yako sio full-time 4WD basi mara nyingi huwa kwenye mode ya 2WD, hizo D-DRIVE, N-NEUTRAL NA P-PARKING hazina uhusiano wa moja kwa moja ni 2WD au 4WD
 
Back
Top Bottom