Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo rangi hiyo mnapenda Ili mfiche nini.......?.......he he he........mkinipa lift muhakikishe mna AC full time.......hasa hiki kipindi cha joto...........
yaani unakuwa na gari kama hiyo afu huna AC? Kibo
Wakuu naomba mnijuze, kwenye importation ya gari unajumlisha na cif value ya tra?
Wakuu nataka kuagiza Suzuki Jimny, cif price 2080usd itanigharimu kiasi gani mpaka kuitoa.
Naombeni msaada tafadhari!
wataalamu naomba mnisaidie kufanya makisio ya kodi ya gari hii TOYOTA PROBOX VAN, CC 1360, CFI 2223, Imetengenezwa mwaka 2007. natanguliza shukrani
Ahsante Mkuu hizo nyingine zinazid 1m?Hiyo hapo.........ila huishii hapo........kuna shipping charges.........port charges......clearing and forwarding.......insurance......etc...
Ahsante Mkuu hizo nyingine zinazid 1m?
Mkuu mshana ni add no 0762506595 kwenye group la what's up
Angelo007 usinichoke kakaKwa muda mrefu sasa nimekuwa mfuatiliaji na mpenzi mkubwa wa huu uzi wa mada maalum za magari. uzoefu wa udadavuaji wa mada umenikosha sana. hakuna kitu muhimu kama kuelewa japo kwa uchache chombo chako cha usafiri, tafadhali naomba mniunge kwa group kwa namba hii 0685862175 @ mr mshana
Bro nina kistaret chang hapa kina sumbua sumbua saana upand wa gear box inakwangua sana mpak sasa cjui tatiz nn