Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Wakuu naomba mnijuze, kwenye importation ya gari unajumlisha na cif value ya tra?
 
Wakuu nataka kuagiza Suzuki Jimny, cif price 2080usd itanigharimu kiasi gani mpaka kuitoa.
Naombeni msaada tafadhari!
 
Msisahau pia magari mengi tyanayonunuliwa huwa hayakai na battery mda mrefu, hii inatokana na kuwa battery zinazowekwa haziendani na nguvu halisi ya gari mfano gari yenye CC 2000 unakuta battery iliyowekwa ni N40 ambayo ni ya kufungwa kwenye gari yenye cc kuanzia 1500 hivyo lusababisha battery kutodumu kwa mda mrefu @chloride exide batteries ni batteries zilizotengenezwa kwa utaalamu wa hali ya juu kuhimili aina yeyote ya gari tuna batteries kuanzia NS40
N40
N50
NS70
N70
N90
N100
N150
N170
N200
ili kupata battery inayoendana na gari yako na uenjoy nayo usipate usumbufu wa kubust bust mara kwa mara battery....fika ubungo shekilango road hapa millenium business park tunapatikana ndani hapa jirani na tigo sales offices ukiulizia @chloride exide watakuonyesha njoo tukupe ushauri bure wa battery gani itafaa kwa gari yako

tuna battery za maji na drycell

chloride exide chloride powerlast, atlas; spark n.k

kwa mawasiliano 0715755555 karibuni sana....
 
kwa hiyo rangi hiyo mnapenda Ili mfiche nini.......?.......he he he........mkinipa lift muhakikishe mna AC full time.......hasa hiki kipindi cha joto...........

yaani unakuwa na gari kama hiyo afu huna AC? Kibo
 
wataalamu naomba mnisaidie kufanya makisio ya kodi ya gari hii TOYOTA PROBOX VAN, CC 1360, CFI 2223, Imetengenezwa mwaka 2007. natanguliza shukrani
 
Ingia web ya tea calculation jaza hizo taarifa utapewa being papo hapo
 
wataalamu naomba mnisaidie kufanya makisio ya kodi ya gari hii TOYOTA PROBOX VAN, CC 1360, CFI 2223, Imetengenezwa mwaka 2007. natanguliza shukrani
 
wataalamu naomba mnisaidie kufanya makisio ya kodi ya gari hii TOYOTA PROBOX VAN, CC 1360, CFI 2223, Imetengenezwa mwaka 2007. natanguliza shukrani

Hiyo hapo.........ila huishii hapo........kuna shipping charges.........port charges......clearing and forwarding.......insurance......etc...
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    55.7 KB · Views: 341
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa mfuatiliaji na mpenzi mkubwa wa huu uzi wa mada maalum za magari. uzoefu wa udadavuaji wa mada umenikosha sana. hakuna kitu muhimu kama kuelewa japo kwa uchache chombo chako cha usafiri, tafadhali naomba mniunge kwa group kwa namba hii 0685862175 @ mr mshana
 
Mkuu mshana ni add no 0762506595 kwenye group la what's up

Kwa muda mrefu sasa nimekuwa mfuatiliaji na mpenzi mkubwa wa huu uzi wa mada maalum za magari. uzoefu wa udadavuaji wa mada umenikosha sana. hakuna kitu muhimu kama kuelewa japo kwa uchache chombo chako cha usafiri, tafadhali naomba mniunge kwa group kwa namba hii 0685862175 @ mr mshana
Angelo007 usinichoke kaka
 
Last edited by a moderator:
Bro nina kistaret chang hapa kina sumbua sumbua saana upand wa gear box inakwangua sana mpak sasa cjui tatiz nn
 
Bro nina kistaret chang hapa kina sumbua sumbua saana upand wa gear box inakwangua sana mpak sasa cjui tatiz nn

Possibilities
-oil haitoshi
-imetumika sana
-umeweka oil isiyo sahihi
-uchakavu

Unahitaji kuifungua na kuangalia tatizo kabla ya kuchukua uamuzi Wowote
 
Back
Top Bottom