Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mkuu hapa nilipo nnamning'inio hatari! Jmosi na Jpili ilikuwa balaa nazan ni dozi ya miezi 3 sigusi tungi
 
Zaidi ya kutupiamo zote kama zote ila msisahau kutoa na ushauri hasa kwenye
Bajeti ya kilaji
Misosi kabla ya kuanza kuunguza mabandama[emoji23]
Hangover nknk
 
Umejiunga JF ukiwa na umri gani mkuu?
 
Hiyo nayo ni changamoto common kwa wanywaji wote, mimi huwa nakunywa kwa raha sana lakini akili ikimkumbuka wife tu basi raha yote kwisha mana naenda kutana na balaa si mchezo
Hapa penyewe nimetoka home nimenuniwa ***** walahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…