Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Jamani hizi pombe zinanikataa sijui nimelogwa!?

Yani nikinywa nahisi kuumwa nisipokunywa ndio kabisa maisha yanakuwa magumu.

Nikiona mizinga nahisi kichefu chefu. Mshana ebu check file langu kama limechezewa au liko sawa. [emoji2]
Fika kilingeni ASAP kuna watu hawapendi uchangiaji wako wa kodi, wanasema eti unatafuta sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…