Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #2,881
Fika kilingeni ASAP kuna watu hawapendi uchangiaji wako wa kodi, wanasema eti unatafuta sifaJamani hizi pombe zinanikataa sijui nimelogwa!?
Yani nikinywa nahisi kuumwa nisipokunywa ndio kabisa maisha yanakuwa magumu.
Nikiona mizinga nahisi kichefu chefu. Mshana ebu check file langu kama limechezewa au liko sawa. [emoji2]