Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wanywaji huwa tunarudigi kwa hisia [emoji23] [emoji23] [emoji23] utakuta mtu anarudi home anaendesha Gari mpaka analipaki ana lala hamjui
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
Hii hunitokea mara nyingi
 
Hii hunitokea mara nyingi
Ni hatari sana maana sisi walevi/wanywaji Mara nyingi tunarudi kwa hisia makwetu
Mimi wakati nakunywa siendeshi Gari kabisa
Wala sigusi maana niishapata ajali mbaya sasa na nikajifunza

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…