Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mungu ni mwema kabisa... Aisee nakuona hapo
Nimeanza mdg mdg ila spidi imeongezeka

Ova
20180929_100920.jpg
 
Wanywaji huwa tunarudigi kwa hisia [emoji23] [emoji23] [emoji23] utakuta mtu anarudi home anaendesha Gari mpaka analipaki ana lala hamjui
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
Hii hunitokea mara nyingi
 
Hii hunitokea mara nyingi
Ni hatari sana maana sisi walevi/wanywaji Mara nyingi tunarudi kwa hisia makwetu
Mimi wakati nakunywa siendeshi Gari kabisa
Wala sigusi maana niishapata ajali mbaya sasa na nikajifunza

Ova
 
Back
Top Bottom