Tusipokunywa Pombe ,wanapataje KODI? Na hivyo viwanda watajengaje km tusipokunywa Pombe ? Hz harakati zingine hzEti ni kweli?View attachment 885270
Hiyo haiwezekani wanywaji/walipa kodi sisi lazima daily tulewe hata kukopa tutakopa!Eti ni kweli?View attachment 885270
Yaani nimetoroka kuja kutoa loku wewe unatuonyesha katazo?.Eti ni kweli?View attachment 885270
Mm mwenyewe asubuhi nimepiga safari ndg mojaYaani nimetoroka kuja kutoa loku wewe unatuonyesha katazo?.
Waambie wasituzoee kabisa.
Wasivyo naakili wanasapoti ujinga wakikosa kodi waanze kwenda kukopa China wazidishe deni la taifa.Hiyo haiwezekani wanywaji/walipa kodi sisi lazima daily tulewe hata kukopa tutakopa!
Ova
Sisi leo bdy kazi kama Kawa tunawachangia kodi [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wasivyo naakili wanasapoti ujinga wakikosa kodi waanze kwenda kukopa China wazidishe deni la taifa.
Hapa penyewe natoa loku nikaendelee kukusanya mkwanja.
Hawaitakii mema nchi yetu[emoji23]Tusipokunywa Pombe ,wanapataje KODI? Na hivyo viwanda watajengaje km tusipokunywa Pombe ? Hz harakati zingine hz
Tena inabidi marufuku ya muda iondolewe mtu achangie kodi muda wowoteHiyo haiwezekani wanywaji/walipa kodi sisi lazima daily tulewe hata kukopa tutakopa!
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani nimetoroka kuja kutoa loku wewe unatuonyesha katazo?.
Waambie wasituzoee kabisa.
Kweli Inabidi sisi wanywaji walipa kodi tuitishe maandamano...ngj niwasiliane na mwenyekiti.....Tena inabidi marufuku ya muda iondolewe mtu achangie kodi muda wowote
KIUIpo kweli hii?View attachment 885586
Haaahaaa
Nko msamvu kwa mgosi kituo cha kwenda dodoma kanipiga safari 3 fasta
Bia ktk chupa ya maji inapoteza ladha, hy ya kuchimba choo mkuu kazi kwakoNko msamvu kwa mgosi kituo cha kwenda dodoma kanipiga safari 3 fasta
Ndy najianda rudi dar [emoji23] [emoji23] nyingine naweka kwenye chupa ya maji masafi
Ila nafikiria kojo njiani sijui itakuwaje?[emoji102]
Ova