Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hii mada tungepata uzoefu wa mlevi mzoefu ambaye kwa sasa ni mhe Mbunge wa Mara ya pili kwa vyama viwili ndani ya miaka mitano katika jimbo lile la uwanja wa Ndege mkubwa hapa nchini.
Yeye ana uzoefu wa kutopenda kusumbuka kwenda WC akishazibua kadhaa bali kushusha ndani kwa ndani.
 
Katibu wako ntakuibukia huko dom
Safi sana we unajua kukaa sehemu tulivu
Mm kuna wakati napenda jichanganya seems za vuguvugu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
Haha me mavurugu huwa siwezi kabisa. Napenda sana sehemu tulivu. Hapa Pestana now ndio panabang Dom. Sehemu nzuri sana.
 
Haha me mavurugu huwa siwezi kabisa. Napenda sana sehemu tulivu. Hapa Pestana now ndio panabang Dom. Sehemu nzuri sana.
Mm nakunyagwa sehemu yoyote naweza kunywa karembezi etc naweza kunywa kitaaa na masela kuamua tu mkuu
Kuna vibe wakati mwingine tunahitaji [emoji23] [emoji23]
Ona msabwanda humu

Ova
 
Haha nimeona Mkuu. Me nikiwa DSM Mara moja moja huwa najichanganya. Vizuri pia.
Sema bar za kujaza sana nilizikacha maana tushakswakoswa si unajua ile wanaingia mnambiwa laleni chini ahhhhh
Mm bar nshakutana na mikasa kibao kama kauandika kitabu ingekuwa burudan maana kuna majanga na vituko....
Wengine sisi ni watu wa mikasa,utani
Sometime watata.....nlikutana na robert Michael alinielwa Sana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…